Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kombe gani labda tuanzie apo?
Kinachowauma ni hiki.Kwenye fainali hilo haliwezekan,zingekuwa mechi zingine ningeweza kukubali
Acha kuota wewe....Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimija sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais watu wakavujisha ile video clip.
Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.
Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.
Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Tunajua mkakati ni Yanga ishinde ndio Maana ameenda na huyo mtu wa tatu kwenye picha mstari wa kwanza kutoka kushoto baada ya huyo Mama mwenye ushugi wa njano.Kinachowauma ni hiki.
DahKwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.
Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.
Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.
Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Utashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?Ndio hatutapenda kwasababu itakuwa kero kuanzia mtaani mpaka mitandaoni
Hivyo na sisi tukishinda naomba msife kwa maumivu maana hili kombe ni la wote
Yanga ni timu ya wananchi wenye akiliKwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.
Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.
Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.
Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Mwarabu piga hao vyura bila hurumaUtashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?
Mnachosahau Yanga tayari iko kamili INA kikosi bora wala hatuitaji usajiri mkubwa ni kufanya replacements ndogo tu kwenye mapungufu.
Yanga 2 - Mwarabu 0Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.
Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.
Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.
Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
kombe la uji.Kombe gani labda tuanzie apo?
Wewe ndio unaona hatuna la maana.Utashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?
Mnachosahau Yanga tayari iko kamili INA kikosi bora wala hatuitaji usajiri mkubwa ni kufanya replacements ndogo tu kwenye mapungufu.