cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa unaliaa nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?
Mnachosahau Yanga tayari iko kamili INA kikosi bora wala hatuitaji usajiri mkubwa ni kufanya replacements ndogo tu kwenye mapungufu.