Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

Miaka kadhaa nyuma pale magambani tulifanyaga mgomo kufuru pamoja na kuwapiga polisi kadhaa,Aisee asubuhi yake alikuja DC na OCD na kutupiga 'mkwara' mzito,Uzuri ni kua sisi kidato cha sita ambao tulikua wahanga wa huo mgomo tulibakiza 2 weeks kwenda NECTA, Madogo tuliowaacha waliishi kwa heshima na adabu aisee..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwalea mmeshindwa mnatafuta wa kumwangushia jumba bovu[emoji2297]
 
Gari la mwalimu je???
 
Wanapaswa kujutia ukorof wap kwa kupewa adhabu kali, wasipewe nafasi ya kujiinua kwa waalimu maana hai ndo wamewatoa ujinga kichwani.
Mwisho wapewe haki yao ya msingi kabsa kupata elimu na kama tujuavyo tz elimu ni vyeti.
 
Police anapigwa police wa wapi uyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes CROWD PSYCHOLOGY ni mbaya sana na ni dalili ya mtu ambaye hajajitambua bado.
 
Watoto bado wadogo lakini wanashindwa kudhibiti hasira zao very sad huko mbeleni waweza us mtu au kujiua iwe kwa wivu wa mapenzi au ujinga mwingine

Wasifanye mtihani waachwe wakatafute kazi za ubouncer mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…