Kwani makonda mwenyewe anazungumziaje haya matokeo?Waliofeli wengi wametokea Zanzibar.
Huo ni mtaji wa CCM . Ndio watakaokua wanamfuata makonda kwenye ziara zake chonganishi.
Mbona Sekondari Kuna wanafunzi wachache hivyo? Wale Mamilioni wanaanza form 1 Huwa wanaishia wapi?Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0.
Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni ongezeko la 1.1% kutoka Watahiniwa 264,627 (50.84%) waliofanya Mtihani mwaka 2022.
Aidha, Ufaulu wa Somo la Hisabati umeendelea kuwa chini ambapo takriban 74.58% ya Watahiniwa waliofanya Mtihani wamefeli Somo hilo na waliofaulu ni 12.75% pekee katia 527,608.
View attachment 2882920
hz elimu zirudishwe , tunaiga vitu hatuna competency navyoKwa sehemu kubwa elimu yetu haina faida yoyote. Elimu inayotupilia mbali zaidi ya asilimia 60 ya wanafunzi haina maana yoyote. Mara mia waliokuwa wanafundishana kuwinda, kuunda vyungu, kuvua, kufuga nk.
Hapo hawajatajwa div 2&3 hao ni 4,0 na 1Mbona Sekondari Kuna wanafunzi wachache hivyo? Wale Mamilioni wanaanza form 1 Huwa wanaishia wapi?
Emu weka hapa matokeo ya Zanzibar tuhakikisheWaliofeli wengi wametokea Zanzibar.
Huo ni mtaji wa CCM . Ndio watakaokua wanamfuata makonda kwenye ziara zake chonganishi.
Mwaka huu wanafunzi wamefail vibaya mno, wala sio uongo.Kila mwaka wanasema ufaulu umeongezeka,lakini kiukweli mwaka huu wamefeli Sana ,yaani shule moja Ina 90+ na ziro za kutosha.
Hasa shule za government wamechafua,Mwaka huu wanafunzi wamefail vibaya mno, wala sio uongo.
Kumbe bora 0 ingekuwa 50% kabisa.hizo division 0 na 4 ndio wanaenda kujenga nchi na kuihudumia jamii na taifa kwa ujumla, hao ndio watakao fanya mzunguko wa fedha uwe mkubwa mtaani, hao ndio wataoongeza hifadhi ya chakula , hao ndio watakao zaa na kuongeza idadi ya watu katika taifa, hao ndio watakao fanya hao waliofaulu kupata cha kufanya, hao ndio watakaopendezesha nchi kwa majengo watakao kuwa wanajenga hata kama watakua wasaidizi, hao ndio watakao safisha taifa kwa usafi watakaokuwa wanafanya, ndio watakao kwa wasaidizi wa nyumba za watu, ndio watakaokuwa waendesha vyombo vya usafiri kusafisha abiria ma mizingo, hao ndio watakuwa walinzi kwenye taifa, wingi wao utapunguza kilio cha ajira na ukosefu wa ajira kwa wengi.
kwa ufupi tunawa hesabia wamepoteza lakini hakuna hata mmoja aliyepoteza, na pengine bila wao hao waliofeli taifa halitafanya vizuri katika mambo mengi.
karibuni sana katika mapambano wadogo zangu bahati nzuri sisi tulio kwenye mapambano kwa muda mrefu hatuwi wachoyo kuwaonyesha njia nyepesi.
Kuna shule moja huku kwetu yaani ni aibu,Ina 1 moja na 2 tatu, four 134 na ziro za kumwaga.Kwa hiyo hao 50k walikuwa wanakwenda na kurudi tu shule bwerere
Wazazi wanalia ndio maana Jana kuna Mzee nilimuona km amevutugwa hivi daahKuna shule moja huku kwetu yaani ni aibu,Ina 1 moja na 2 tatu, four 134 na ziro za kumwaga.
Shule za kata ndo uozo mtupu, shule kongwe zinachechemea mdogo mdogo. LOLHasa shule za government wamechafua,
Matokeo mabovu,sema Tz bhana kila kitu siasa.