Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

HATUSIKII HAMTUPANGII CCM MBELE KWA MBELE WATOTO WETU WAPO FEZA CCM MBELE KWA MBELE TUNATENGENEZA WAPIGA KURA CCM MBELEKWAMBELE WACHA MUISOME NAMBAA EEH, MTAJUANA WENYEWE
 
Tunahitaji mafundi mchundo wengi, wajenzi, maseremali, mafundi umeme, wakulima, wazoa taka na wengineo watakaofanya kazi za mikono kwa wingi.

Nchi itajengwa na nani kila mtu akipata DIVISHENI ONE?? Nani atatuchimbia vyoo? Nani atalima??

We need more slaves and labourers.

Asanteni sana wazazi kwa kutuzalia MADIVISHENI FOO.

Huu ndio uchumi wa kweli. Lazima wenye akili wawe wachache na mamburulaz wawe wengi.

Cc Nyani Ngabu

Depal
 
mwenye matokeo ya zanzibar atuwekee hapa please
 
Kwa sehemu kubwa elimu yetu haina faida yoyote. Elimu inayotupilia mbali zaidi ya asilimia 60 ya wanafunzi haina maana yoyote. Mara mia waliokuwa wanafundishana kuwinda, kuunda vyungu, kuvua, kufuga nk.
Kwa zama hizi za sayansi na technolojia haijalishi atapata ajira au la!! lazima mtoto asome! Usipoenda shule moja kwa moja anakuwa ametemwa namfumo wa maisha kwasababu kila fursa inayojitokeza password ni "UNA ELIMU GANI". Tuache kujidanganya! Hata wewe hapo umeanzisha kakitega uchumi kanakohusisha utumiaji wa akili lazima utajari elimu ya huyo utakaye muajiri. Hatusomi kuajiliwa! Tunasoma ili tuweze kujua mazingira yanayotuzunguka ili iwe rahisi kuakabiliana na changamoto za maisha!
 
Hao waliofeli ni jukumu la wazazi kuwasimamia na kumsaidia mtoto kwenda kule wanapodhani wataweza. Binafsi huwa najutia muda niliopoteza darasani na hela nilizosemeshewa laiti ningepewa mkononi ningekua mbali zaidi ya hapa nilipo.
 
Lakini asilimia 60 wanashindwa kufikia hilo lengo la elimu, kujua mazingira yanayowazunguka na kukabiliana na changamoto za maisha. Huoni kuwa hapo elimu imefeli?
 
PC yenye documents za word ilisumbua. Mpaka nifanye kutoa data. Tutaendelea.
kama zipo kwenye pdf unaweza zi covert online kwenda kwenye word au unapogungua pdf nenda sehemu ilipo andikwa open with wew unachagua open with word
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…