Wanafunzi Dar na Dharau kwa Wakubwa Wao

nilikuwa nawaza utauliza'' ana ch...?''
kitu kizuri nimejifunza pia
 
Mungu anisamehe ila yule anaonekana anaenda shule kusindikiza wenzie tu. Form four yake naona zero kabisa
Kwa sababu ya zile kauli chafu? Unaota wewe!

Si chuo tuligraduate na kichaa mmoja mla bangi zikipanda anatufukuza na malecturer na mapanga ( na matusi juu

Lkn class ni nomazz
 
Haahaaa...mwanafunzi kawainsipire watu humu jf[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Na watu wazima pia muache kupenda kuhurumiwa na kulialia kila mara,,,,,,,,anaepaswa kuonewa huruma ni watu wa makundi maalumu tu kama wazee(miaka 50 na kuendelea), wajawazito, vilema n.k. Sasa unakuta mtu ana miaka 40 tu nae anataka huruma ya kupishwa kwenye siti!!!!! alichokosea huyo binti nikumjibu vibaya tu huyo mama na sio vinginevyo.
Profesa Jay aliwahi kuimba " Umashuhuri kwako kanunue basi lako, au ukakodi tax ili uwe peke yako"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unapata dhambi
 
Kati ya watu siwezi jibishana nao ni madenti....huwa wanachoka sana! Sana

Huwa nawaonea huruma coz nimepitia the same consequences tena hapa hapa dar!

Wee acha tuu
Mi nikionaga konda anasumbua nalipa nauli wakae kwenye siti. Kuna wengine unaona kabisa alivyochoka halafu asimame
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona
Nilikasirika jamani. Akanitukana halafu baadae naambiwa wewe mbona umemtukana mwenzio mpaka analia. Nikacheka sana maana siwezi kumtukana mtu nikikasirika ila ntaongea maneno ya kukuumiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…