miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
nilikuwa nawaza utauliza'' ana ch...?''ila huyo mwanafunzi mdomo wake mchafu unaohusu "stress za kutokulipwa mshahara" umenifunza kitu!!....Kumbe hata watoto wadogo siku hizi wanaelewa kuwa kuajiriwa ni utumwa,haya ndiyo maendeleo tunayoyataka katika nchi!!....Asante mtoto kwa mdomo wako mchafu ulionifunza kitu!!
kitu kizuri nimejifunza pia