Muwe mnasoma bila makasiriko! Nilichoandika na ulichoandika ni vitu viwili tofauti. Rudia kusoma ukiwa soberNaona wewe unafananisha pass za Form six na pass za Form Four; Vitu viwili tofauti kabisa
Mfano; Form Six mtu akiwa na pass mark ya C tatu za PCB; hapo ana Division One na anaweza kwenda UDactari (MD) bila shida yoyote. Hizo pass za A kwa Form six zinapatikana kwenye Arts (History, Kiswahili nk)
Kwenye saiyansi (PCB/M) ni za kuotea na ndio sababu wana mfumo tofauti wa kurank division)