Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

Kiogozi wa nchi anaenda na msafara wa magari ya kifahari kuhutubia raia wasioweza hata kununua viatu! Tumelaaniwa
 
Labda wanamuiga Mpoto.
 
Rwangwa ni Jimbo linaloongozwa na Mbunge ambaye ndiye Waziri Mkuu , huyu ni miongoni mwa Wabunge waliopita bila kupingwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akimaliza ziara ya Ruangwa, Wamasai wa Ngorongoro wanamsubiri wanataka kuongea na Rais wao mpendwa...
 
🀣🀣🀣Huyo mzee mwenyewe alisoma ualimu wa upe
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…