Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu .

Ndiyo maana Chawa wa Mama wameamua kuomba hela wanakojua wenyewe na kugawa kwenye Kaya Masikini huku wakiongozana na mama mwenyewe kwenye ziara hiyo

Rwangwa ni Jimbo linaloongozwa na Mbunge ambaye ndiye Waziri Mkuu , huyu ni miongoni mwa Wabunge waliopita bila kupingwa .

View attachment 2753744
View attachment 2753745
Sisi wakati tunasoma shule ya msingi kama ukiwa na jozi moja ya viatu hutavivaa kila siku ili visichakae.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom