mtoto wako akileta ushenzi atanyukwa tu na wewe mzazi ukija kwa shari utanyukwa tu, hakuna mwalimu mnyonge ujue hivyoIKitokea umepiga mtoto wangu hadi akaumia lazima.nikushughulikie
Waziri wa elimu alishafafanua kuhusu adhabu hasa viboko. Ni mkuu wa shule tu ana jukumu hilo.Haya matoto yanaudhi kwa kweli, walimu msihangaike na wanafunzi wajeuri waacheni watakula jeuri yao. Mkiwapiga mtawaumiza au kuwaua kabisa, taabu yote ya nini wakati mshahara mnapata bila kuulizwa mlifundishaje? Toto kama halionyeki wacha likakufilie mbali, si halitaki kusoma?
Huwa napata tabu kujuwa logic ya waalimu wa ki Tz, kuwachapa wanafunzi, au kutishia kuwachapa kisa tu hawajalipa pesa kwa ajili ya jambo flan. Kwanini mtoto atishiwe kuchapwa ama kuchapwa kabisa wakati mnashinda naye naye darasani/ Yahani si mtafuta pesa?.Haya matoto yanaudhi kwa kweli, walimu msihangaike na wanafunzi wajeuri waacheni watakula jeuri yao. Mkiwapiga mtawaumiza au kuwaua kabisa, taabu yote ya nini wakati mshahara mnapata bila kuulizwa mlifundishaje? Toto kama halionyeki wacha likakufilie mbali, si halitaki kusoma?
Aisee poleni sanaTaharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu.
Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa shule, huku wazazi wakidai watoto wao walichapwa kwa waya baada ya kushindwa kutoa Sh1,500 iliyokuwa ikikusanywa kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa walimu wawili wa kujitolea.
Hata hivyo, uongozi wa shule na mwalimu aliyetajwa katika tuhuma hizo wamekanusha madai hayo, wakisema wanafunzi walipewa adhabu kwa fimbo baada ya kukutwa wakicheza nje wakati wa muda wa kujisomea.
Kwa mujibu wa wazazi na viongozi wa kijiji, tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wameweka kambi shuleni kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Darasa la Saba unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Wazazi walidai baadhi ya wanafunzi walichapwa sehemu mbalimbali za miili, ikiwemo miguu, mapaja na mgongoni, huku wengine wakipata maumivu na kushindwa kutembea vizuri.
View attachment 3661077
Masikini na tar 9|9|2026 Papertaifa dahTaharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu.
Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa shule, huku wazazi wakidai watoto wao walichapwa kwa waya baada ya kushindwa kutoa Sh1,500 iliyokuwa ikikusanywa kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa walimu wawili wa kujitolea.
Hata hivyo, uongozi wa shule na mwalimu aliyetajwa katika tuhuma hizo wamekanusha madai hayo, wakisema wanafunzi walipewa adhabu kwa fimbo baada ya kukutwa wakicheza nje wakati wa muda wa kujisomea.
Kwa mujibu wa wazazi na viongozi wa kijiji, tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wameweka kambi shuleni kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa Darasa la Saba unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Wazazi walidai baadhi ya wanafunzi walichapwa sehemu mbalimbali za miili, ikiwemo miguu, mapaja na mgongoni, huku wengine wakipata maumivu na kushindwa kutembea vizuri.
View attachment 3661077
mtoto kaleta maudhi anakula viboko hapohapo haina haja ya kusubiri mkuu wa shule aje amchapeWaziri wa elimu alishafafanua kuhusu adhabu hasa viboko. Ni mkuu wa shule tu ana jukumu hilo.
viboko ni motisha, watachapwa tuHuwa napata tabu kujuwa logic ya waalimu wa ki Tz, kuwachapa wanafunzi, au kutishia kuwachapa kisa tu hawajalipa pesa kwa ajili ya jambo flan. Kwanini mtoto atishiwe kuchapwa ama kuchapwa kabisa wakati mnashinda naye naye darasani/ Yahani si mtafuta pesa?.
Ni uwendawazimu si kumchapa tu, bali hata kutishia kumchapa kisa hajalipiwa na mzazi/ mlezi.viboko ni motisha, watachapwa tu
usilete ujuaji wakati mtoto wako tunakulelea we ukiwa kaziniNi uwendawazimu si kumchapa tu, bali hata kutishia kumchapa kisa hajalipiwa na mzazi/ mlezi.
S nawalipa?usilete ujuaji wakati mtoto wako tunakulelea we ukiwa kazini
Na wewe ujue siyo kila mzazi ni mnyonge.utakuja kunyongwa.Mwalimu anatakiwa kuwa na akili ya ufundishaji na siyo kuwa mpumbavumtoto wako akileta ushenzi atanyukwa tu na wewe mzazi ukija kwa shari utanyukwa tu, hakuna mwalimu mnyonge ujue hivyo
mzazi ukija shuleni kwa shari unanyukwa tu, shuleni si pa kuja kishariNa wewe ujue siyo kila mzazi ni mnyonge.utakuja kunyongwa.Mwalimu anatakiwa kuwa na akili ya ufundishaji na siyo kuwa mpumbavu
Mwalimu akimpiga mwanafunzi kwa upumbavu wa mwalimu lazima mini mzazi nimwadabishe ili upumbavu wake asirudiemzazi ukija shuleni kwa shari unanyukwa tu, shuleni si pa kuja kishari
naona hujawahi kwenda shuleni na hizi ngebe zakoMwalimu akimpiga mwanafunzi kwa upumbavu wa mwalimu lazima mini mzazi nimwadabishe ili upumbavu wake asirudie
SIwezi kuruhusu mwalimu mpumbavu amchape mwanafunzi.Atamchapa mwalimu mwenye akilinaona hujawahi kwenda shuleni na hizi ngebe zako
Huyo ni mhuni tu kama wahuni wengine.mwalimu anayejitambua na anafuata maadili ya ufundishaji hawezi kuwa kama huyo mhuniDuh huyo ticha Loth sio kwa mikwara hiyo 🤣🤣