Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,564
- 3,279
Jamaa hafati maagizo ya wizara Wala nini na anasema mzazi ukienda vibaya unanyukwa piaHuyo ni mhuni tu kama wahuni wengine.mwalimu anayejitambua na anafuata maadili ya ufundishaji hawezi kuwa kama huyo mhuni