Wanafunzi kupigwa vibaya kisa 1500 ya mchango, walimu wa kujitolea

Hiyo habari ni ya kweli?
 
Watoto walete michango mwalimu ale, twisheni ipo madarasa yote na masomo yote, baada ya muda wa kawaida warudi shuleni tena jioni kwa twisheni hadi jumamosi ipo. Shule zikifungwa twisheni itaendelea kama kawaida
Tuition ya KAZI Gani ? Kama hukueleweka darasani utaeleweka tuition?

Elimu ni gharama wazazi na serikali wachangie Elimu. Serikali ijufunze mfumo wa Cambridge ilivyo ni nafuu na unampa Mtoto muda mwingi wa kijisomea na kujifunza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…