ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo itakuwa Balaa.
Sigara hizi lengo Ilikuwa kuwapunguzia wavutaji wa tumbaku ile addiction ila zimewekwa flavour inaonekana, inewavutia sana watoto nasikia kinauzwa 15000 je kinauzwa maduka gani hayo Mpaka wafanyabishara wakubali kuwauzia watoto?