bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
bora unyamaze tu usilaumu mzazi, kwani imewahi kutokea huko Arusha hata ukasema 'wangezuia watoto?'Wazazi nao hawajifikirii kweli!? Na mvua hizi bado unaruhusu mwanao aende shule? Siku yenyewe moja tu halafu weekend mimi nisingemruhusu angesubiria jtatu na penyewe ingetegemea na hali ya hewa
Ndio uwezo wa waafrika ulipoishia hapo. Yaan badala ya kutatua matatizo sisi tunaamini hayo ndio mapenzi ya Mungu.Kifo kikija kimekuja ndugu yangu. RIP
Kawafufue hao watoto.Ndio uwezo wa waafrika ulipoishia hapo. Yaan badala ya kutatua matatizo sisi tunaamini hayo ndio mapenzi ya Mungu.
Sio kosa lako ndio akili yetu imeishia hapoKawafufue hao watoto.
Kawafufue, Akili si zipo nyingi.Sio kosa lako ndio akili yetu imeishia hapo
Uko sahihiMkuu kwa mvua ya usiku wa leo jamaa ana hoja...wapo watu hawatoi watoto mvua ikiwa kwa kiwango hiki wanasema labda ampeleke yeye shule kwa usafiri wake wengi tu na wengine wanatoa taarifa mvua ikiwa inanyesha nyingi apigiwe simu amfate yeye mwanae shuleni mbona kawaida hiyo mkuu au...
Sasa kama ni derva mzuri na hajaweka kileo chochote kichwani si unashuka tu kwenye gari kujihakikishia kama kweli mahali unataka kupita na gari Pana Usalama?Kama ni utelezi, hiyo uisikie kwa mwingine.
Sasa kama ni derva mzuri na hajaweka kileo chochote kichwani si unashuka tu kwenye gari kujihakikishia kama kweli mahali unataka kupita na gari Pana Usalama?