Shule kitonga unategemea elimu iwepo 😂😂Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia.
Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule hiyo kuhusu uhaba wa walimu na vyumba vya madarasa, baada ya hapo tulishuhudia ujenzi wa madarasa matatu mapya licha ya kwamba hayajakamilika vyema.
Hoja ya awali - Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13
Hata hivyo licha ya kujengwa kwa madasa hayo lakini bado hali ni tete ambapo Wanafunzi wanalazimika kuja na viroba kwa ajili ya kukalia jambo ambalo sio rafiki.
Darasa moja unakuta lina Wanafunzi zaidi 600 ambao wanatumia madarasa mawili. Kwa mazingira hayo Mwanafunzi anatoboaje? Walimu wetu kwenye Shule hiyo wanawezaje kumudu hali hiyo?
Kuna wakati kulikuwepo na tetesi kwamba mamlaka zinapanga kujenga Shule nyingine kwa ajili kuwagawa Wanafunzi ili kupunguza idadi kubwa iliyopo sasa, lakini hadi sasa hatujasikia kauli rasmi kuhusu jambo hilo, hatujaliona katika uhalisia japo endapo likitekelezwa linaweza kuwa msaada zaidi.
Nitoe wito kwa mamlaka hususani TAMISEMI kufuatilia changamoto hii ili kuona namna bora ya kuitatua, ambapo itakuwa vyema ikajengwa Shule nyingine katika mwambao huo ili kupunguza msongamano wa Wanafunzi ambao unapelekea uhaba wa miundombinu hali ambayo inawafanya wakae chini.
Sanjari na hilo Wanafunzi wengi wamekuwa wakipata changamoto kufika shuleni hasa kipindi cha mvua ikiwa ni kutokana na miundombinu mibovu ya barabara inayotumika kuelekea kwenye Shule hiyo.
Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia.
Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule hiyo kuhusu uhaba wa walimu na vyumba vya madarasa, baada ya hapo tulishuhudia ujenzi wa madarasa matatu mapya licha ya kwamba hayajakamilika vyema.
Hoja ya awali - Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13
Hata hivyo licha ya kujengwa kwa madasa hayo lakini bado hali ni tete ambapo Wanafunzi wanalazimika kuja na viroba kwa ajili ya kukalia jambo ambalo sio rafiki.
Darasa moja unakuta lina Wanafunzi zaidi 600 ambao wanatumia madarasa mawili. Kwa mazingira hayo Mwanafunzi anatoboaje? Walimu wetu kwenye Shule hiyo wanawezaje kumudu hali hiyo?
Kuna wakati kulikuwepo na tetesi kwamba mamlaka zinapanga kujenga Shule nyingine kwa ajili kuwagawa Wanafunzi ili kupunguza idadi kubwa iliyopo sasa, lakini hadi sasa hatujasikia kauli rasmi kuhusu jambo hilo, hatujaliona katika uhalisia japo endapo likitekelezwa linaweza kuwa msaada zaidi.
Nitoe wito kwa mamlaka hususani TAMISEMI kufuatilia changamoto hii ili kuona namna bora ya kuitatua, ambapo itakuwa vyema ikajengwa Shule nyingine katika mwambao huo ili kupunguza msongamano wa Wanafunzi ambao unapelekea uhaba wa miundombinu hali ambayo inawafanya wakae chini.
Sanjari na hilo Wanafunzi wengi wamekuwa wakipata changamoto kufika shuleni hasa kipindi cha mvua ikiwa ni kutokana na miundombinu mibovu ya barabara inayotumika kuelekea kwenye Shule hiyo.
Hapo ni Dar eSalaam je mikoani hali ipoje?Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia.
Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule hiyo kuhusu uhaba wa walimu na vyumba vya madarasa, baada ya hapo tulishuhudia ujenzi wa madarasa matatu mapya licha ya kwamba hayajakamilika vyema.
Hoja ya awali - Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13
Hata hivyo licha ya kujengwa kwa madasa hayo lakini bado hali ni tete ambapo Wanafunzi wanalazimika kuja na viroba kwa ajili ya kukalia jambo ambalo sio rafiki.
Darasa moja unakuta lina Wanafunzi zaidi 600 ambao wanatumia madarasa mawili. Kwa mazingira hayo Mwanafunzi anatoboaje? Walimu wetu kwenye Shule hiyo wanawezaje kumudu hali hiyo?
Kuna wakati kulikuwepo na tetesi kwamba mamlaka zinapanga kujenga Shule nyingine kwa ajili kuwagawa Wanafunzi ili kupunguza idadi kubwa iliyopo sasa, lakini hadi sasa hatujasikia kauli rasmi kuhusu jambo hilo, hatujaliona katika uhalisia japo endapo likitekelezwa linaweza kuwa msaada zaidi.
Nitoe wito kwa mamlaka hususani TAMISEMI kufuatilia changamoto hii ili kuona namna bora ya kuitatua, ambapo itakuwa vyema ikajengwa Shule nyingine katika mwambao huo ili kupunguza msongamano wa Wanafunzi ambao unapelekea uhaba wa miundombinu hali ambayo inawafanya wakae chini.
Sanjari na hilo Wanafunzi wengi wamekuwa wakipata changamoto kufika shuleni hasa kipindi cha mvua ikiwa ni kutokana na miundombinu mibovu ya barabara inayotumika kuelekea kwenye Shule hiyo.
Je yule anaye lipa goli la mama kwa simba na Yanga kwenye Caf na Taifa Stars anazo akili?Huku kuna Yule mwehu ya tabora yeye ananunua ushindi tabora FC Kwa 60milions
Unajiuliza huyu ana akili kweli??
Nadhani Jerry SlaaJimbo la nani hili?