Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

Huo mda wa ziada ungekuwa na duka lako na mitego mingine,usingesubiri motisha.Mwalimu anayetafuta huwezi kumkuta anajikomba eti apewe nafasi ya kusimamia pepa ili apate laki sita wala kusahihisha necta,atafanya kazi kulingana na mwongozo basi.Mtu unapata mda wa kushinda na wanafunzi baada ya mda wa kazi huyo mtu atafanya maendeleo yake sa ngapi?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Wewe mpuuzi kama kila mtu angeangalia hela kwanza tungeishi kwa amani duniani?
 
Complete moron,tafuta hela fanya kazi kulingana na mwongozo tofautisha hospital na shule ndo maana mnakufa maskini

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Shule na Hospitali zote huduma za jamii
Wewe toka umeanza kutafita hela umekuwa Bakheresa au Mo.Dewji kwa utajiri una nini wewezaofi ya kuwa na visenti vya kuganga njaa tu Una nini cha maana wewe
 
Huyo mwalimu mzembe, anashindwa kopa pesa achukue hata fekon
 
Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada.

Shule hii ina michepuo miwili ya EGM NA CBG mwalimu huyu amekuwa mhimili sana kwa wanafunzi hawa.

Matokeo ya kidato cha sita kwa shule hii yamekuwa yakiongozwa na mchepuo wa EGM.

Nafikiri CHAMA CHA WALIMU pamoja na Serikali tuendelee kutoa motisha na Hamasa kwa walimu kama hawa kwani licha ya kutimiza majukumu yao lakini wanatumia muda wao wa ziada kuhakikisha wanapata kizazi Bora.

Leo hawa wanafunzi wametoa Baiskeli kulingana na uwezo wao kuna siku watatoa zawadi ya gari.

Chama kinaweza kuwatambua hata kwa kuwapa vyeti vya uwajibikaji Bora hii itapelekea Walimu kujituma zaidi.

Mwalimu Kipaho pia ni Mwalimu wa Nnidhamu. Mungu amjalie afya pamoja na Walimu wote wanaotumia muda wao wa ziada kuhakikisha Wanafunzi wanafanya vizuri.💪
View attachment 2702939
Nakiona ki Uncle changu hapo kimetulia. Juzi kati ndiyo maana kimenipanga nikapangika kumbe ulikuwa mchango wa Teacher!
 
Msicho kijua ni kwamba usiku was tukio ticha Kwa furaha aliyokuwa nayo alilala nayo kitandani.
 
Back
Top Bottom