Viwango vya Marekani hatuwezani navyo.
ELEWA MAANA YA KULA CHAKULA KILICHOPO NI TOFAUTI NA KULA CHAKULA UNACHOTAKA. KUSOMA CHINA NI KULA CHAKULA KILICHOPO NA KUSOMA MAREKANI NI KULA CHAKULA UNACHOTAKAView attachment 3365534
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho.
Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha kutoa viza kwa wanafunzi wa kigeni.
Ikiwa ni moja ya nchi zinazowavutia zaidi wanafunzi wa Kiafrika, Marekani kuweka vizuizi vya viza dhidi ya wanafunzi wa kigeni kumesikitisha sana wanafunzi wa Kiafrika, na kuwaonyesha wazi kwamba ndoto yao kuhusu Marekani inaweza kuvunjwa kwa urahisi kutokana na vitendo visivyofaa vya serikali ya Marekani.
Kabla ya hayo, suala la viza tayari lilikuwa na usumbufu mkubwa kwa wanafunzi wa Kiafrika wanaotaka kusoma nchini Marekani. Kwa mfano, mwaka 2022, zaidi ya nusu ya maombi ya viza ya wanafunzi wa Kiafrika kwenda Marekani yalikataliwa. Sababu za kukataliwa ni tofauti, ikiwa ni pamoja na upungufu wa nyaraka, ukosefu wa fedha za kutosha, na hata mipango isiyokamiliki ya kurudi na visingizio vingine visivyoelezeka.
Wakati huo huo, China inapokea wanafunzi wengi zaidi wa Kiafrika. Mara ya mwisho kwa China kutangaza idadi ya wanafunzi wa kimataifa nchini humo ilikuwa miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Elimu ya China, mwaka 2018, kulikuwa na wanafunzi wa Kiafrika 81,562 nchini China, ikiwa ni asilimia 16.57 ya wanafunzi wote wa kimataifa. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Carnegie Endowment for International Peace la Marekani, idadi ya wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma nchini China imezidi ile nchini Marekani kwa karibu asilimia 70.
Sasa, kwa nini China imekuwa nchi inayowavutia sana wanafunzi wa Kiafrika? Sababu kuu ni kiwango cha juu cha ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umeimarika katika karibu nyanja zote zikiwemo siasa, uchumi, utamaduni, viwanda, afya, na teknolojia, na elimu pia ni sehemu muhimu ya mtandao huu mkubwa wa ushirikiano.
China ina elimu bora ya juu inayoweza kulinganishwa na nchi za magharibi, lakini ada ya masomo na gharama za maisha ni ndogo. Nchini China wanafunzi wa Kiafrika wanaweza kuchagua kwa urahisi kusomea matibabu, uhandisi na kozi zingine zinazowavutia zaidi.
Aidha, kutokana na kuongezeka kwa vuguvugu la kupinga wahamiaji katika nchi za Magharibi, ni rahisi zaidi kwa wanafunzi wa Kiafrika kupata viza ya kusoma nchini China kuliko Marekani, Ufaransa na Uingereza.
Jambo muhimu zaidi ni kwamba, kutokana na kukua kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, barani Afrika kuna makampuni mengi ya China, wanafunzi wa Kiafrika wanaamini kwamba kuweza kuongea Kichina na kuelewa utamaduni wa China kutawasaidia kupata ajira.
Ngoja Xi Jinping aje, ila Vyuo vingi vya Usa Including some Faculty za Havard zimeshapitwa na China tayari.Jamaa acha kupotosha watu bhana elimu ya china iko chini na gharama iko chini sn
Nani kakudanganya .We unazani marekani ni rahisi wenzako wachina kila mchina ana ndoto ya kusomea USA ili kuwa mtaalamu mkubwa.Marekani watoto wanapenda masomo lainilaini kama music wakati China wanakomaa na hesabu
Ngoja Xi Jinping aje, ila Vyuo vingi vya Usa Including some Faculty za Havard zimeshapitwa na China tayari.
Nani kakudanganya .We unazani marekani ni rahisi wenzako wachina kila mchina ana ndoto ya kusomea USA ili kuwa mtaalamu mkubwa.
Shida ujafika USA kuna mtoto wa mmoja alitoka arusha tech kwenda kusoma engineer za mambo ya ndege mwisho wa siku kawa mcheza karate.
We mzee kaa kimya kama hujafanyia utafiti hilo eneo mzee mi nina watoto wawili wanasoma west watatu ndio kaingia china mwaka huu. Mzee uzunguni unachohofia ni mtoto asije kuwa shoga tu basi. Lakin laiti ungejua wachina wanavyotumia nguvu kubwa kupeleka watoto west kusoma wala usingeongeq. Maana wasingeenda west hawangeweza kuwaibia teknolojia. Na hii ndio tofauti ya mchina na mwafrika yeye anamsomesha raia kwa malengo sisi ili tulips vizur matokeo tumezalisha maboss tu bila wafanyakazView attachment 3365534
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho.
Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha kutoa viza kwa wanafunzi wa kigeni.
Ikiwa ni moja ya nchi zinazowavutia zaidi wanafunzi wa Kiafrika, Marekani kuweka vizuizi vya viza dhidi ya wanafunzi wa kigeni kumesikitisha sana wanafunzi wa Kiafrika, na kuwaonyesha wazi kwamba ndoto yao kuhusu Marekani inaweza kuvunjwa kwa urahisi kutokana na vitendo visivyofaa vya serikali ya Marekani.
Kabla ya hayo, suala la viza tayari lilikuwa na usumbufu mkubwa kwa wanafunzi wa Kiafrika wanaotaka kusoma nchini Marekani. Kwa mfano, mwaka 2022, zaidi ya nusu ya maombi ya viza ya wanafunzi wa Kiafrika kwenda Marekani yalikataliwa. Sababu za kukataliwa ni tofauti, ikiwa ni pamoja na upungufu wa nyaraka, ukosefu wa fedha za kutosha, na hata mipango isiyokamiliki ya kurudi na visingizio vingine visivyoelezeka.
Wakati huo huo, China inapokea wanafunzi wengi zaidi wa Kiafrika. Mara ya mwisho kwa China kutangaza idadi ya wanafunzi wa kimataifa nchini humo ilikuwa miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Elimu ya China, mwaka 2018, kulikuwa na wanafunzi wa Kiafrika 81,562 nchini China, ikiwa ni asilimia 16.57 ya wanafunzi wote wa kimataifa. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Carnegie Endowment for International Peace la Marekani, idadi ya wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma nchini China imezidi ile nchini Marekani kwa karibu asilimia 70.
Sasa, kwa nini China imekuwa nchi inayowavutia sana wanafunzi wa Kiafrika? Sababu kuu ni kiwango cha juu cha ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umeimarika katika karibu nyanja zote zikiwemo siasa, uchumi, utamaduni, viwanda, afya, na teknolojia, na elimu pia ni sehemu muhimu ya mtandao huu mkubwa wa ushirikiano.
China ina elimu bora ya juu inayoweza kulinganishwa na nchi za magharibi, lakini ada ya masomo na gharama za maisha ni ndogo. Nchini China wanafunzi wa Kiafrika wanaweza kuchagua kwa urahisi kusomea matibabu, uhandisi na kozi zingine zinazowavutia zaidi.
Aidha, kutokana na kuongezeka kwa vuguvugu la kupinga wahamiaji katika nchi za Magharibi, ni rahisi zaidi kwa wanafunzi wa Kiafrika kupata viza ya kusoma nchini China kuliko Marekani, Ufaransa na Uingereza.
Jambo muhimu zaidi ni kwamba, kutokana na kukua kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, barani Afrika kuna makampuni mengi ya China, wanafunzi wa Kiafrika wanaamini kwamba kuweza kuongea Kichina na kuelewa utamaduni wa China kutawasaidia kupata ajira.
Sasa kama Research mbalimbali za University za Huko West zinasema hivyo tu kuamini wewe kajamba nani ama tuwaamini Stanford na mashirika mengine ambayo yanaifahamu Elimu mara Bilioni zaidi yako?Ushabiki maandazi ni kitu kibaya sana. Yaani hadi watoto wa viongozi wa chama cha kikomunisti wanapelekwa kusoma Marekani tena kwa gharama mara tano ya China halafu wafia dini wanakuja kuongea utumbo humu.
China huyu anaye tengeneza bidhaa feki zisizo na name for quality ndio eti elimu yake iwe bora kuishinda Marekani.
Ukiendekeza itikadi feki za hizi tamaduni za kigeni lazima utakuwa tu mjinga. No way.
Ni kuvutiwa au kukosa chaguo alitakalo mwanafunzi?Uongo mwingine ni very cheap!View attachment 3365534