Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

Ngoja Xi Jinping aje, ila Vyuo vingi vya Usa Including some Faculty za Havard zimeshapitwa na China tayari.
Lakini Wachina wenye pesa na wenye vyeo vikubwa wanapeleka watoto wao USA, this includes rais Ci Jinping mwenyewe, binti yake kapelekwa USA kwa first and second degree; hapo vipi?
 
Wachina wenyewe wanakimbilia kwenda kusoma marekani, hata hiyo Ban ya Marekani imeathiri sana wachina na ndio maana wanalalamika kupita kiasi.
Kamwe huwezi sikia kuna mmarekani anataka kwenda kusoma china
"Kamwe huwezi sikia kuna mmarekani anataka kwenda kusoma china" NA NDO UKWELI.
 
View attachment 3365534

Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho.

Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha kutoa viza kwa wanafunzi wa kigeni.

Ikiwa ni moja ya nchi zinazowavutia zaidi wanafunzi wa Kiafrika, Marekani kuweka vizuizi vya viza dhidi ya wanafunzi wa kigeni kumesikitisha sana wanafunzi wa Kiafrika, na kuwaonyesha wazi kwamba ndoto yao kuhusu Marekani inaweza kuvunjwa kwa urahisi kutokana na vitendo visivyofaa vya serikali ya Marekani.

Kabla ya hayo, suala la viza tayari lilikuwa na usumbufu mkubwa kwa wanafunzi wa Kiafrika wanaotaka kusoma nchini Marekani. Kwa mfano, mwaka 2022, zaidi ya nusu ya maombi ya viza ya wanafunzi wa Kiafrika kwenda Marekani yalikataliwa. Sababu za kukataliwa ni tofauti, ikiwa ni pamoja na upungufu wa nyaraka, ukosefu wa fedha za kutosha, na hata mipango isiyokamiliki ya kurudi na visingizio vingine visivyoelezeka.

Wakati huo huo, China inapokea wanafunzi wengi zaidi wa Kiafrika. Mara ya mwisho kwa China kutangaza idadi ya wanafunzi wa kimataifa nchini humo ilikuwa miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Elimu ya China, mwaka 2018, kulikuwa na wanafunzi wa Kiafrika 81,562 nchini China, ikiwa ni asilimia 16.57 ya wanafunzi wote wa kimataifa. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Carnegie Endowment for International Peace la Marekani, idadi ya wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma nchini China imezidi ile nchini Marekani kwa karibu asilimia 70.

Sasa, kwa nini China imekuwa nchi inayowavutia sana wanafunzi wa Kiafrika? Sababu kuu ni kiwango cha juu cha ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umeimarika katika karibu nyanja zote zikiwemo siasa, uchumi, utamaduni, viwanda, afya, na teknolojia, na elimu pia ni sehemu muhimu ya mtandao huu mkubwa wa ushirikiano.

China ina elimu bora ya juu inayoweza kulinganishwa na nchi za magharibi, lakini ada ya masomo na gharama za maisha ni ndogo. Nchini China wanafunzi wa Kiafrika wanaweza kuchagua kwa urahisi kusomea matibabu, uhandisi na kozi zingine zinazowavutia zaidi.

Aidha, kutokana na kuongezeka kwa vuguvugu la kupinga wahamiaji katika nchi za Magharibi, ni rahisi zaidi kwa wanafunzi wa Kiafrika kupata viza ya kusoma nchini China kuliko Marekani, Ufaransa na Uingereza.

Jambo muhimu zaidi ni kwamba, kutokana na kukua kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, barani Afrika kuna makampuni mengi ya China, wanafunzi wa Kiafrika wanaamini kwamba kuweza kuongea Kichina na kuelewa utamaduni wa China kutawasaidia kupata ajira.
Sijasoma Uzi wako ila ni rahisi zaidi kwa china na kuliko marekani
 
Lakini Wachina wenye pesa na wenye vyeo vikubwa wanapeleka watoto wao USA, this includes rais Ci Jinping mwenyewe, binti yake kapelekwa USA kwa first and second degree; hapo vipi?
Issue ya Xi jinping ishazungumziwa sana humu na hata Degree ya mwanae sio ya sayansi ama mambo magumu ambayo yanafanya vyuo viwe best bali ni ya Bachelor of Arts na Psychology, Havard, course nyingi za arts bado Havard na University za Ulaya wapo vizuri ila kwenye Crucial technology ndio China anapiga bao wenzake.

So huyo mtoto wa Xi ni failure wa China, ni kama Huku Tanzania Muhas ama Law school Waki chukua cream waliopata division one na wenye Division two wakaenda kusoma Kenya hio ina maanisha Muhas ni chuo kibaya kuliko vya Kenya?

Hii ni Nature list vya Vyuo ambavyo Vinatoa output kubwa zaidi ya Research, Vyuo 10 bora zaidi 7 vimetoka China

Screenshot_20250612_205559_Chrome.jpg

Ukiangalia hio list Vyuo vyote ambavyo havijatoka China, USA, France na Ujerumani vina negative growth, wakati Vyuo vyote vya China vina growth kubwa sana, so it's just matter of time vyuo vingine vyote kutolewa top 10.

Bottom line mkuu hivyo vyuo best vya China ni public universities ambazo huhitaji mamia ya mamilioni ama mabilioni ya hela Kusoma
 
View attachment 3366125

Well analyzed, thumb 👍 2U bro
 
Hizo kila mtu anaweza kuweka na isiakisi ukweli mfano mtu anaweza akaweka 1. UDSM 2. UDOM 3. HAVARD na kuendelea, hivi wewe ujiulizi mtu anapiga pini ataki watu wasome kwakwe na yule fungulia mbwa kuna ufanano hapo?
 
View attachment 3365534

Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho.

Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha kutoa viza kwa wanafunzi wa kigeni.

Ikiwa ni moja ya nchi zinazowavutia zaidi wanafunzi wa Kiafrika, Marekani kuweka vizuizi vya viza dhidi ya wanafunzi wa kigeni kumesikitisha sana wanafunzi wa Kiafrika, na kuwaonyesha wazi kwamba ndoto yao kuhusu Marekani inaweza kuvunjwa kwa urahisi kutokana na vitendo visivyofaa vya serikali ya Marekani.

Kabla ya hayo, suala la viza tayari lilikuwa na usumbufu mkubwa kwa wanafunzi wa Kiafrika wanaotaka kusoma nchini Marekani. Kwa mfano, mwaka 2022, zaidi ya nusu ya maombi ya viza ya wanafunzi wa Kiafrika kwenda Marekani yalikataliwa. Sababu za kukataliwa ni tofauti, ikiwa ni pamoja na upungufu wa nyaraka, ukosefu wa fedha za kutosha, na hata mipango isiyokamiliki ya kurudi na visingizio vingine visivyoelezeka.

Wakati huo huo, China inapokea wanafunzi wengi zaidi wa Kiafrika. Mara ya mwisho kwa China kutangaza idadi ya wanafunzi wa kimataifa nchini humo ilikuwa miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Elimu ya China, mwaka 2018, kulikuwa na wanafunzi wa Kiafrika 81,562 nchini China, ikiwa ni asilimia 16.57 ya wanafunzi wote wa kimataifa. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Carnegie Endowment for International Peace la Marekani, idadi ya wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma nchini China imezidi ile nchini Marekani kwa karibu asilimia 70.

Sasa, kwa nini China imekuwa nchi inayowavutia sana wanafunzi wa Kiafrika? Sababu kuu ni kiwango cha juu cha ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, ushirikiano kati ya pande hizo mbili umeimarika katika karibu nyanja zote zikiwemo siasa, uchumi, utamaduni, viwanda, afya, na teknolojia, na elimu pia ni sehemu muhimu ya mtandao huu mkubwa wa ushirikiano.

China ina elimu bora ya juu inayoweza kulinganishwa na nchi za magharibi, lakini ada ya masomo na gharama za maisha ni ndogo. Nchini China wanafunzi wa Kiafrika wanaweza kuchagua kwa urahisi kusomea matibabu, uhandisi na kozi zingine zinazowavutia zaidi.

Aidha, kutokana na kuongezeka kwa vuguvugu la kupinga wahamiaji katika nchi za Magharibi, ni rahisi zaidi kwa wanafunzi wa Kiafrika kupata viza ya kusoma nchini China kuliko Marekani, Ufaransa na Uingereza.

Jambo muhimu zaidi ni kwamba, kutokana na kukua kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, barani Afrika kuna makampuni mengi ya China, wanafunzi wa Kiafrika wanaamini kwamba kuweza kuongea Kichina na kuelewa utamaduni wa China kutawasaidia kupata ajira.
Yoda
 
Hizo kila mtu anaweza kuweka na isiakisi ukweli mfano mtu anaweza akaweka 1. UDSM 2. UDOM 3. HAVARD na kuendelea, hivi wewe ujiulizi mtu anapiga pini ataki watu wasome kwakwe na yule fungulia mbwa kuna ufanano hapo?
Nature ni kila mtu? Ni renowned company ya Uingereza unaweza ukaisoma hapa

Ipo toka 1869 zaidi ya miaka 150,
 
Back
Top Bottom