Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

Ngoja Xi Jinping aje, ila Vyuo vingi vya Usa Including some Faculty za Havard zimeshapitwa na China tayari.
Lakini Wachina wenye pesa na wenye vyeo vikubwa wanapeleka watoto wao USA, this includes rais Ci Jinping mwenyewe, binti yake kapelekwa USA kwa first and second degree; hapo vipi?
 
Wachina wenyewe wanakimbilia kwenda kusoma marekani, hata hiyo Ban ya Marekani imeathiri sana wachina na ndio maana wanalalamika kupita kiasi.
Kamwe huwezi sikia kuna mmarekani anataka kwenda kusoma china
"Kamwe huwezi sikia kuna mmarekani anataka kwenda kusoma china" NA NDO UKWELI.
 
Sijasoma Uzi wako ila ni rahisi zaidi kwa china na kuliko marekani
 
Lakini Wachina wenye pesa na wenye vyeo vikubwa wanapeleka watoto wao USA, this includes rais Ci Jinping mwenyewe, binti yake kapelekwa USA kwa first and second degree; hapo vipi?
Issue ya Xi jinping ishazungumziwa sana humu na hata Degree ya mwanae sio ya sayansi ama mambo magumu ambayo yanafanya vyuo viwe best bali ni ya Bachelor of Arts na Psychology, Havard, course nyingi za arts bado Havard na University za Ulaya wapo vizuri ila kwenye Crucial technology ndio China anapiga bao wenzake.

So huyo mtoto wa Xi ni failure wa China, ni kama Huku Tanzania Muhas ama Law school Waki chukua cream waliopata division one na wenye Division two wakaenda kusoma Kenya hio ina maanisha Muhas ni chuo kibaya kuliko vya Kenya?

Hii ni Nature list vya Vyuo ambavyo Vinatoa output kubwa zaidi ya Research, Vyuo 10 bora zaidi 7 vimetoka China

Ukiangalia hio list Vyuo vyote ambavyo havijatoka China, USA, France na Ujerumani vina negative growth, wakati Vyuo vyote vya China vina growth kubwa sana, so it's just matter of time vyuo vingine vyote kutolewa top 10.

Bottom line mkuu hivyo vyuo best vya China ni public universities ambazo huhitaji mamia ya mamilioni ama mabilioni ya hela Kusoma
 
Well analyzed, thumb 👍 2U bro
 
Hizo kila mtu anaweza kuweka na isiakisi ukweli mfano mtu anaweza akaweka 1. UDSM 2. UDOM 3. HAVARD na kuendelea, hivi wewe ujiulizi mtu anapiga pini ataki watu wasome kwakwe na yule fungulia mbwa kuna ufanano hapo?
 
Yoda
 
Nature ni kila mtu? Ni renowned company ya Uingereza unaweza ukaisoma hapa

Ipo toka 1869 zaidi ya miaka 150,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…