Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

We ambae huendekezi mwili unaishije, maana mwili una kiu, njaa, usingizi, etc au hulali, huli, hunywi
 
Hamuonei hurumq vitoto vya miaka 14 kweli ? Yaani hilo dude lako ulilolipa matunzo kwa miaka 30 yako ukampelekee mtoto wa miaka 14 apambane nalo kweli ?
 
miaka 12 form two logarithim ataelewa kwel???
 
Zipo shule kama kumi na 3 ambazo sijataja majina yake lakini hali inatisha sana. Vitoto vya form 2 vinabeba watu wazima.


Nadhani serikali ifuate ushauri wangu tu hakuna jinsi.
mkuu nimesoma kwa kutulia una hoja ya msingi. Itaokoa kizazi kijacho.

Lakini kuna hoja za kutafakari mara mbili. Huko njombe vibinti vya mpaka shule ya msingi wanadate na baba zao wazazi. Na ole wake mwalimu ajitie kimbelembele kufuatilia, anatupiwa radi.

Kuna mindset ya kujenga kwanza ili tuelekee kwenye utatuzi wa hizi shida
 
Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, kwamba binti anaweza kuolewa akiwa na miaka 16. Hao ni malaya hata hawakai kwenye hiyo ndoa.
Umeelewa alichosema mleta mada ambacho nimemuomba aweke hiko kipengele cha hiyo sheria? Ikiwa hujaelewa kaa kimya.
 
Unasema? Wanadatena baba zao wazazi kwa sababu gani? Ushirikina ama?
 
Unasema? Wanadatena baba zao wazazi kwa sababu gani? Ushirikina ama?
Hapana mkuu
Baba zao wanawabaka na kuwatishia.

Ukichunguza anguko la kielimu kwa watoto wa kike Njombe kwa sehemu kubwa linatokana na ngono kabla ya wakati.
 
Glory be to God..
Ndio maana huku Mtwara wazazi huwaambia mabinti zao wajifelishe la saba makusudi
Hata wasipowaambia hawana uwezo wengi kutokana na Mila za huko watoto wakike wanaharibika mapema.

Chumvi ina thamani kuliko mwanamke huko, walioishi lindi na mtwara wanalifahamu hilo.
 
LIKUD unatakiwa ufahamu haya kuhusu ndoa.

1. Ni kweli Sheria ya Ndoa inaruhusu mtoto chini ya umri wa miaka 18 kuolewa kwa makubaliano maalum.

2. Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ilishabatilisha vifungu vinavyoruhusu mtoto kuolewa.

3. Sheria ya Mtoto inakataza mtoto kuolewa.

4. Sheria ya Elimu inakataza mwanafunzi kuolewa, means hata akiwa na miaka 25 na yupo kidato cha nne haruhusiwi kuolewa.

5. Kwa hiyo ni kinyume na sheria kumuozesha mtoto, na pia ni kosa kumuozesha mwanafunzi.
 
Kwa kifupi sheria inachochea uzinzi
 
Kwa kifupi sheria inachochea uzinzi
Kazi ya sheria ni kusimamia mienendo ya mwanadamu.

Embu fikiria, sheria isingekuwepo, je, watu wangesoma?

Au binti na mama wangezalia nyumbani kwa mashindano?

Wanafunzi wangeenda shule na babyshow wamewapakata watoto wao.

Law and order ni muhimu. Binadamu ana matamanio mengi.

Kazi ya sheria ni kuyaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…