SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
We ambae huendekezi mwili unaishije, maana mwili una kiu, njaa, usingizi, etc au hulali, huli, hunywiUmalaya wa watu wengine usiwe shida kwa wengine. Shida ya Mtwara ni ujinga ambao hawako tayari kuutoa. Mtoto wa kike anafikiri tu kuolewa, ndoa yenyewe hawadumu. Wanaendekeza ufuska. Maandiko matakatifu yameandika mwili hushindana na roho, km mtu ameuendekeza mwili wake mwacheni atapata matokeo yake. Wasiisumbue serikali waachwe wanavyotaka, watanzania wenye elimu watafanya kazi huko huko kwao wao watabaki vibarua ndani ya maeneo yao ndio akili itawakàa.