Cohenlukinga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 279
- 352
Waislamu nanyi anzisheni vyuo vya afya vya kutosha hapa mtakua mmewakomesha wakristoHabari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.