Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Kuvaa stara ndio maana yake nini? Kujifunika mashuka mchana jua kimewaka?

Kwamba ambao hawajifuniki mashuka wao wanatembea uchi?

Hizi dini zimepumbaza sana watu.
Inasikitisha sana
 
Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.

Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Kuvaa uchi ndio kuvaaje?
Usiongee tu kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Unailaumu kwanini? Unataka watoto wasifurahie uhuru wao wa imani kwa mujibu wa katiba?

Unadhani ni privilege tu serikali kuruhusu vazi la hijabu? Wamelazimika kwasababu kuna uhuru wa imani kwenye katiba.
Hao watoto hawavai kwa hiyari yao, wanavaa kwa kulazimishwa na maelekezo ya wazazi wao. Hakuna mtoto atakayetaka mwenyewe kwa hiyari yake kujifunika gubigubi katika joto la Dar es Salaam.
 
Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!

Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo

Ni kweli kabisa lakini usijisahaulishe au pengine utafiti vizuri.
Hao hao Wafaransa unaowasema pia wamepiga marufu kuvaa MISALABA na BALAGASHIA ZA 'KIZAYUNI' pia, zingatia neno KIZAYUNI.
 
Kama nchi ya kiislamu ikataka mavazi yasiyo stara ,dunia nzima inasema kwamba ni democray kila mtu avae atakavyo.

Chuoni kama hapo tumekubali ,il ukweli nyie ni wanafiki na mnafanya mambo bila ya kutumia akili ...Tangu lin kujifunika kichwa ikawa ni kosa katika ukristo?

Ebu angalia sanamu ya Maria kanisani unakuta imevaa hijabu ,hebu angalia wale ma'sisters ambao ni devoted servants pale tena hata shule za kikristo nimekaa pale Magamba Forest Lushoto naona wale matron wao wanavaa hijab kwa shule ya st Mazinde juu.

Kufunika kichwa haijawahi kuwa jambo geni ,ishu ni chuki.View attachment 2919705
Sio Wakristo wote ni Wakatoliki, sio wote wanaokupinga ni Wakatoliki au Wakristo.
Halafu kama umelipenda sana sanamu la Maria basi uendelee mbele zaidi ukubali na kufurahia mashoga kubarikiwa. Usifanye cherry picking.
 
Unaelewa maana ya stara ?wnavaa vile kuepuka bughuzi kama kutongozwa hovyo huku barabarani sio lazima kisheria kuvaa ....ila kujifunika kichwa either kwa kanga hata nyasi ni lazima hata kweny ukristo .
Watu wanatongoza hadi wavaa niqab, achilia mbali ushungi. Au unafikiri huwa wanapataje mimba na kuolewa??
 
Hao watoto hawavai kwa hiyari yao, wanavaa kwa kulazimishwa na maelekezo ya wazazi wao. Hakuna mtoto atakayetaka mwenyewe kwa hiyari yake kujifunika gubigubi katika joto la Dar es Salaam.

Huu uchizi wa kufukiria kuwaza tu hivyo ni kuwa upo kwenye Damu (Umerithi) au hukuwa na malezi mbadala wa hayo.
 
Inaonekana unapenda sana kufukuliwa mtaro.Anyway turudi kwenye mada.Kama watoto wa Kiislam hawawezi kufuata masharti ya vyuo vya wakatoliki watafute vyuo vya Kiislam.Uzuri wakristu hawaendagi kwenye taasisi zenu

Kwakujiamini kabisa unaongea.
 
Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!

Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Sorry sijapenda ila suala la majini ya mayele limenichekesha sana 🤣🤣🤣🤣

We uliyaona wapi majini ya mayele?
 
Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu

Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha, mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu

Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri

Sasa mwanamke akionesha kapaja tu kidume cha kiislamu kadude kake kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala.
Hao wakristo waliumbwa tofauti na waislamu mpaka washindwe kuzuia hayo matamanio yao.
 
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.

Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Wanapenda kulalamika,Hydom chuo na hospital inamilikiwa na Kanisa, unaingia kwenye chuo ambacho hakiendani na wewe kitamaduni na ww halafu unataka ufanye mambo yako ni akili kweli?hawa majamaa wakati mwingine hawawazi vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom