Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Kuvaa stara ndio maana yake nini? Kujifunika mashuka mchana jua kimewaka?

Kwamba ambao hawajifuniki mashuka wao wanatembea uchi?

Hizi dini zimepumbaza sana watu.
Inasikitisha sana
 
Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.

Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Kuvaa uchi ndio kuvaaje?
Usiongee tu kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Unailaumu kwanini? Unataka watoto wasifurahie uhuru wao wa imani kwa mujibu wa katiba?

Unadhani ni privilege tu serikali kuruhusu vazi la hijabu? Wamelazimika kwasababu kuna uhuru wa imani kwenye katiba.
Hao watoto hawavai kwa hiyari yao, wanavaa kwa kulazimishwa na maelekezo ya wazazi wao. Hakuna mtoto atakayetaka mwenyewe kwa hiyari yake kujifunika gubigubi katika joto la Dar es Salaam.
 
Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!

Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo

Ni kweli kabisa lakini usijisahaulishe au pengine utafiti vizuri.
Hao hao Wafaransa unaowasema pia wamepiga marufu kuvaa MISALABA na BALAGASHIA ZA 'KIZAYUNI' pia, zingatia neno KIZAYUNI.
 
Sio Wakristo wote ni Wakatoliki, sio wote wanaokupinga ni Wakatoliki au Wakristo.
Halafu kama umelipenda sana sanamu la Maria basi uendelee mbele zaidi ukubali na kufurahia mashoga kubarikiwa. Usifanye cherry picking.
 
Unaelewa maana ya stara ?wnavaa vile kuepuka bughuzi kama kutongozwa hovyo huku barabarani sio lazima kisheria kuvaa ....ila kujifunika kichwa either kwa kanga hata nyasi ni lazima hata kweny ukristo .
Watu wanatongoza hadi wavaa niqab, achilia mbali ushungi. Au unafikiri huwa wanapataje mimba na kuolewa??
 
Huko chuo ndiyo kitu cha maana cha kuja kulalamika hapa.. hawa wafunga majini wana shida sana
 
Hao watoto hawavai kwa hiyari yao, wanavaa kwa kulazimishwa na maelekezo ya wazazi wao. Hakuna mtoto atakayetaka mwenyewe kwa hiyari yake kujifunika gubigubi katika joto la Dar es Salaam.

Huu uchizi wa kufukiria kuwaza tu hivyo ni kuwa upo kwenye Damu (Umerithi) au hukuwa na malezi mbadala wa hayo.
 
Inaonekana unapenda sana kufukuliwa mtaro.Anyway turudi kwenye mada.Kama watoto wa Kiislam hawawezi kufuata masharti ya vyuo vya wakatoliki watafute vyuo vya Kiislam.Uzuri wakristu hawaendagi kwenye taasisi zenu

Kwakujiamini kabisa unaongea.
 
Wazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!

Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Sorry sijapenda ila suala la majini ya mayele limenichekesha sana 🤣🤣🤣🤣

We uliyaona wapi majini ya mayele?
 
Hao wakristo waliumbwa tofauti na waislamu mpaka washindwe kuzuia hayo matamanio yao.
 
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.

Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Wanapenda kulalamika,Hydom chuo na hospital inamilikiwa na Kanisa, unaingia kwenye chuo ambacho hakiendani na wewe kitamaduni na ww halafu unataka ufanye mambo yako ni akili kweli?hawa majamaa wakati mwingine hawawazi vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…