Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Tuna manufaa nazo watoto wanasoma huko sio zenu hizo zinazoongizwa na maustaadhi ambao sifa ya kuwa mwalimu uwe umekariri aya kadhaa za kuruani kwa wingi kichwani sio masomo husika
Kumbe naongea na bwege tu manufaa gani unayo yapata ambayo muisilamu mwenye hela akipeleka mtoto wake kusoma hapo anayakosa?hata wewe bila hela mtoto wako hasomi kwenye shule hizo wala kutibiwa,niko Ifakara hapa kuna chuo na hosipitali ya loma huna hela hakuna huduma hata huwe mkirito tena ulie vaa msalaba mkubwa wenye sanamu kama huna hela unafia kwenye benchi tu
 
Wewe umewekeza nini katika jamii inayo kuzunguka?

Au unasifia mashule na viuo vilivyo jengwa kwa jina la kanisa hili vijipatie matilioni ya pesa kutoka serikalini huo ni unyoyoji kama ndio hivyo bora tusijenge fatilia uone makanisa yanapewa sh ngapi kila mwaka na serikali hakuna mkirito hata 1 ambae hata cheo kanisani anae faidika na mali ya kanisa labda kusifia tu na kusema waisilamu awawekezi kwenye jamii sisi hatuna utapeli kama makanisa heti mme wekaza wizi mtupu
Hujui kitu shule zote za kanisa na vyuo unavyoviona waumini huchangishwa makanisani wazi tena bila siri .Hujengwa kwa michango ya waumini.Zikijengwa ili ziwe endelevu na zitoe elimu bora na zijiendeshe hupangwa ada ili kesho na keshokutwa waumini wasichangishwe tena au kuchukua sadaka kwenda kulipa mishahara ya walimu na gharama nyingine za umeme,maji,usafiri nk

Ulitaka viwe bure? Hata mishahara waumini waendelee kuchangishwa?
Shule za kanisa na vyuo waendeshaji wasomi ndio maana huoni ubora unashuka na hujiendesha zenyewe hazihitaji ruzuku ya kanisa wala serikali wala sadaka za waumini
Na huapa kutoa elimu bora kwa watoto na kuhakikisha zinajiendesha.Na hukabidhiwa wakuu wa shule na vyuo wabobezi ndani na nje kuendesha
Nenda kanisa lolote kaulize hizo shule zilijengwaje
Shule na vyuo ni mambo ya jamii waumini tumewekeza kwa kuchangia ujenzi wa hizo za kanisa
 
Nimeona sana TV Imaan wanaweka namna ya luku ya msikiti fulani kuomba watazamaji wachangie[emoji23][emoji23],huwa najiuliza je waumini wa huo msikiti wanashindwa kununua umeme kweli?
Wewe akili huna tv zote za kanisa zinachangisha michango hata makanisa yote yanachangisha michango utamuona mchungaji anaishi kwenye kasiri na gari la mamilioni huku waumini mkizidi kukamuliwa bora kuchangia umeme kuliko kumnufaisha mtu 1
 
Wewe umewekeza nini katika jamii inayo kuzunguka?

Au unasifia mashule na viuo vilivyo jengwa kwa jina la kanisa hili vijipatie matilioni ya pesa kutoka serikalini huo ni unyoyoji kama ndio hivyo bora tusijenge fatilia uone makanisa yanapewa sh ngapi kila mwaka na serikali hakuna mkirito hata 1 ambae hata cheo kanisani anae faidika na mali ya kanisa labda kusifia tu na kusema waisilamu awawekezi kwenye jamii sisi hatuna utapeli kama makanisa heti mme wekaza wizi mtupu
Nimefaidika vizuri tu,wadogo zangu wanasoma hapo pamoja na rafiki zao waislam. Chuo hakitakiwi kunipa mimi pesa lakini kuna ajira pale,watu wamejenga hostel za wanafunzi,migahawa, stationaries. Pia kuna tenders za huduma mbali mbali nk,wewe ungependa tufaidike kwa namna gani?

Haina shida ndio tunachanga kujenga makanisa mazuri hatujengi majengo kama hiyo misikiti inayojengwa kama godown la kuhifadhi nafaka tunapenda vitu quality kanisa Zuri nyumba ya padre na Askofu na mchungaji nzuri anavaa vizuri viatu vizuri sio makobaz kama hao maustaadhi wenu wehu walala misikitini
 
So what kama wote tunamwabudu Yesu? Shias hawamfuati Mohamed? Mbona wasunni mnawakataa kwamba wale sio waislam? Nyie kama nani?
Ikohivi hili mtu awe muisilamu ni kukili kuwa mungi ni 1 na muhammad ni mja wake na mtume wake,mtu akisha kili hivyo kawa muisilamu na hiyo ndio nguzo kuu katika uisilamu

Nguzo kuu katika ukirito hili mtu awe mkirito ni kukili kuwa yesu aliuwawa na wayahudi kisha akatundikwa msalabani kisha siku ya 3 akafufuka pia na kukili kuwa yesu ndie mungu mkuu

Nitajie ni dhehebu gani la kikirito linalopinga kuwa yesu sio mungu na akufa msalabani?nitajie

Haya medhebu ya kikirito ni matawi tu
 
Sijakuelewa una maanisha nini,maandiko yenu yanawakataza kufanya urafiki na sisi wakristo kwa sababu ni watu wabaya,wa motoni.Hakuna chuki dhidi ya uislamu bali the other way around.
Nikweli sisi waisilamu aturuhusiwi kufanya urafiki na mkirito wala yahudi sababu urafiki huo itasababisha nasi kuwafuata kwenye imani yenu ya muabudu yesu mwana wa mariamu badala mungu,ila kusoma kwenye shule zenu sio katazo sababu hiyo ni biashara tu kama kwenda kununua sukari dukani hapo kitakacho kuwa kinatuunganisha sio urafiki bali ni pesa tu bila pesa uwezi peleka mtoto kusoma hapo
 
huwa mnajiona nyie ni watu maalum kuliko wengine, kila sehemu mnataka mtambuliwe nyie kwanza.
Tutabuliwe kwalipi? Unaona raha kila mala kuona mapaja na makwapa ya wanawake wenye lika kama la mama yako?
 
Nikweli sisi waisilamu aturuhusiwi kufanya urafiki na mkirito wala yahudi sababu urafiki huo itasababisha nasi kuwafuata kwenye imani yenu ya muabudu yesu mwana wa mariamu badala mungu,ila kusoma kwenye shule zenu sio katazo sababu hiyo ni biashara tu kama kwenda kununua sukari dukani hapo kitakacho kuwa kinatuunganisha sio urafiki bali ni pesa tu bila pesa uwezi peleka mtoto kusoma hapo
Wakristo tumefundishwa upendo mpaka kwa maadui zetu,hatuwafundishi watoto zetu kwamba vitabu vitakatifu vya dini fulani vime chakachuliwa. Hiyo ndiyo tofauti yetu na nyingi .
 
Acha udini..kwahiyo kanisa ndio linaruhusu wanawake watembee uchi/nusu uchi?
Kwenye anga zao waachie wenyewe usiwafunze uvaaji hangaika anga zako huko kwenye madrasa na mavyuo yako

Pambana na hali yako kwako.Mwinyi aliwahi sema huwezi chagua jirani Sasa jirani yako kama anatembea nusu uchi wewe kwako mnavaa hijabu inakuhusu nini?
Wao kama wameamua kutembea nusu uchi yanakuhusu nini nenda kwako huko mnakovaa kujistiri hadi makalio usome huko ondoka kwa Waterbea makalio wazi
 
Hujui kitu shule zote za kanisa na vyuo unavyoviona waumini huchangishwa makanisani wazi tena bila siri .Hujengwa kwa michango ya waumini.Zikijengwa ili ziwe endelevu na zitoe elimu bora na zijiendeshe hupangwa ada ili kesho na keshokutwa waumini wasichangishwe tena au kuchukua sadaka kwenda kulipa mishahara ya walimu na gharama nyingine za umeme,maji,usafiri nk

Ulitaka viwe bure? Hata mishahara waumini waendelee kuchangishwa?
Shule za kanisa na vyuo waendeshaji wasomi ndio maana huoni ubora unashuka na hujiendesha zenyewe hazihitaji ruzuku ya kanisa wala serikali wala sadaka za waumini
Na huapa kutoa elimu bora kwa watoto na kuhakikisha zinajiendesha.Na hukabidhiwa wakuu wa shule na vyuo wabobezi ndani na nje kuendesha
Nenda kanisa locate kaulize hizo shule zilijengwaje
Shule na vyuo ni mambo ya jamii waumini tumewekeza kwa kuchangia ujenzi wa hizo za kanisa
Toka hapa wewe hiyo sh 2000 yako unayo changia kwa wiki ndio ijenge hosipitali shule viuo magali,ujui lolote serikali ilisaini mkataba na makanisa kuyapa ruzuku ya kuendesha shule hizo kitambo kila mwaka serikali inatoa zaidi b 3 kwenda huko kama ruzuku pia mafisadi wanachota hela za kodi na kupeleka huko mfano kuna kanisa liko pale tangi bovu kibao cha shule siku ya jumapi 1 walitangaza kuwa sadaka ilikuwa milioni 400 kufuatilia wakasema hapo kila juma 2 sadaka ikiwa kidogo tu 100 ukiangalia waumini walio wengi njaa kali kumbe kuna mawaziri na wakurugenzi wanachota wanaleta
 
Kuishi na watu kazi sana,mimi hao jamaa siwalaumu itikadi zao dizain zinawatoa nje ya mfumo wa kawaida wa binadamu wa kufikiri!!!

Tuvumiliane tu.
 
Nimefaidika vizuri tu,wadogo zangu wanasoma hapo pamoja na rafiki zao waislam. Chuo hakitakiwi kunipa mimi pesa lakini kuna ajira pale,watu wamejenga hostel za wanafunzi,migahawa, stationaries. Pia kuna tenders za huduma mbali mbali nk,wewe ungependa tufaidike kwa namna gani?
Kama ndio hivyo kila mtu nchi hii ni mwekezaji katika jamii inayo mzunguko kwa njia moja au nyingine sio wewe unipige kifua heti waisilamu awajawekeza katika jamii hiyo sio kauli ndugu hata boda boda wanatoa huduma katika jamii,lakini makinisa yana tunyonya sababu serikali inatoa kodi zetu kuwapa kama ruzuku lakini kwenye elimu bei zao kubwa hosipitali zao hazina hata huruma na jamii,na sema hayo nikiwa hapa Ifakara mjini kuna hosipitali ya loma haina huruma na mtu pesa mbele huduma hovyo uzuli wenu ambagui kisago kisago tu bila kujali mkirito wala masai au muisilamu hela mbele kama tai kupungukiwa hata mia unafia Mbale huko
 
Toka hapa wewe hiyo sh 2000 yako unayo changia kwa wiki ndio ijenge hosipitali shule viuo
Uongo hakuna muumini aweza toa sadaka ya ujenzi elfu mbili ni zaidi ya hapo hadi milions waumini hutoa
Kuna sadaka za ujenzi makanisani kila wiki hata ingekuwa 2000 kanisa chukulia tu lina waumini milioni 10 nchi nzima nchi hii yenye wananchi milioni 60 watoaji kwa wiki wakitoa elfu mbili kila mmoja kila wiki kwa hao waumini milioni 10 ni billion 20 kwa wiki na mwezi ni billion 80 kanisa lina uwezo wa kujenga shule au hospital kila mwezi likitaka kupitia sadaka ya ujenzi ya mwezi mmoja tu likitaka bila msaada wa serikali
 
Haina shida ndio tunachanga kujenga makanisa mazuri hatujengi majengo kama hiyo misikiti inayojengwa kama godown la kuhifadhi nafaka tunapenda vitu quality kanisa Zuri nyumba ya padre na Askofu na mchungaji nzuri anavaa vizuri viatu vizuri sio makobaz kama hao maustaadhi wenu wehu walala misikitini
Ss hata tukaabdu kwenye mwembe tu sio shida sababu ss tuna muabudu allah nyiyi mnamuabudu yesu mwana wa mariamu alie uwawa na wayahudi kisha wakamtundika msalabani
 
Back
Top Bottom