Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Katafuteππππ
Tuwekeane hela 1M. Tumtafute alivaa nikabu (ninja) ambaye hajaolewa tukampime kama kama anayo bikra. πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafuteππππ
Tuwekeane hela 1M. Tumtafute alivaa nikabu (ninja) ambaye hajaolewa tukampime kama kama anayo bikra. πππ
ππππKatafute
Hasa Mimi na wewe hatujuwa twa mtafutia wapiπππππ
Umeghairi nini? Njia rahisi, tumtafute aliyevaa nikabu ambaye amekuja kuswali ila hajaolewa tukampime bikra.
Tukimkuta ana bikra, nakupa 1M cash πππ
Nimependa nguo ya mama imemtoa vyediiiiπ
Kwa mujibu wa Mange aliyekuwa sheikh wa dms anafirimbwaTaja kiongozi 1 ya kiisilamu anae sapoti ushoga kama alivyo papa na angirikana nitajie 1 tu kisha unitajie msikiti hata 1 duniani unaohalalisha ushoga kama yalivyo makanisa ya ulaya
Mikoa yote inayoongoza kuwa na idadi kubwa ya mashoga ni pamoja wanakokaa ndg zako ktk imaanTaja kiongozi 1 ya kiisilamu anae sapoti ushoga kama alivyo papa na angirikana nitajie 1 tu kisha unitajie msikiti hata 1 duniani unaohalalisha ushoga kama yalivyo makanisa ya ulaya
Kinacho watesa ndugu zetu Hawa ni kushindwa kuishi kufuatana na mazingiraWazuiliwe tu hata ikiwezekana wapigwe marufuku kujifukiza bila kupenda jua lote hilo na miguo myeusi utadhani majini ya mayele!
Ufaransa walishapiga marufuku hiyo minguo
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.
Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
MSITUSUMBUE NENDENI NENDENI KIBITI MKAVAE HAYO MADUDE YENU.Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Mbona MUM wapo wakristo hawapewi uhuru wao wa kuabuduChuo kinafanya ukatili mkubwa sana, wapewe uhuru wao wa kuabudu.
Wanafunzi haohao wakiwa nyumbani hawavai, kwanza inaondoa dhana ya uniformity. Jitegemee Secondary School walikataaga haya mambo maana inaleta utofauti kabisa. Shule za kata na msingi za kiswahili zimejaa shungi lakini haohao tunawaona mtaani wakiwa kawaida nachukia sanaHabari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Dkt. Gwajima D ephen_ Palina FaizaFoxy TANESCO TRA Tanzania NA HILI MKALITAZAMEHabari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Hicho chuo ni cha kidini kina mashart yake kama hawataki watafute vyuo vya serikal walivyowaruhusu kuvaa wanavyotaka au wafungue vyuo vyaoHabari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Hata kwa wahudumu katika migahawa na Hotel si salama kwa usafi na afya ya walaji.Niseme tu kwamba, vazii lolote linalogusa chini ktk mazingira ya hospital si salama kwa mvaaji na wanaomzunguka mvaaji.