Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Waislamu mna matatizo ya afya ya akili.
Mnajifanya watakatifu ila kila kitu kibaya ni nyinyi
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Umewahi kupita Muslims Morogoro? Pale Dini ni moja tu Uislam,hadi fimbo zipo pale wanachapana.......kama huwezi kusoma hapo tafuta chuo kingine
 
Ikitokea sehemu ya waislamu ikakataa mavazi yao ,hilo balaa lake 😁😁😁wala nguruwe utasikia sijui Mung anaangalia moyo.

Hapo wanatetea eti kwa vile Sheria za kikristo...kama hamruhusu basi toeni na lile sanamu lililovaa hijab pale

Hili sanamu mulitoe kabisa maana limevaa hijab😅😅👇
View attachment 2919690
Mbona mnataka kuwapangianwatu utaratibi wa kuendesha maisha kwa namna mnavyotaka nyie?
Mmekaribishwa ulaya kwa kukosa akili mnalazimisha wenye nchi yao wafuate taratibu zenu.Subiri mass deportation inakuja wazungu hawataki ujinga.
Mnataka kuingiza mambo ya kiislam kwenye ukatoliki kwa lazima?Jinga sana hii mijitu
 
Hivyo vituko wanafanyiwa Waislam kila siku lakini hautakuta masista wa kanisani, hata wakiwa shule au vyuoni wakivuliwa stara zao.

Ni uoga tu wa Uislam (phobia).
Ujinga ni wa kwenu wa kutaka kulazimisha wasio na imani yenu waishi kama ninyi.Sista kuvaa anavyovaa na padri kuvaa anavyovaa hailazimishi muumini kuvaa hivyo pia.
Lini ulimkuta sista anasoma pale MUM?Pelekeni wasomi wenu kwenye taasisi zenu mlazimiahane ma sunna yenu
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Vipo vyuo Vingiii tuuu sio.lazim waende chuo hich cha KKKT

Usituchosheee na wewe
 
Hydom nadhan ni Lutheran sio Catholic, vyuo vya wakatoliki havina shida na hijab, CUHAS bugando wanafunz wa kiislamu wanavaa hijab kama kawaida, kisichoruhusiwa ni kujiziba sura na kuburuza gauni sakafuni hata BMC manesi wanavaa ushungi mweupe na suluari. Nadhan hawa wenzetu protestants ni wakali kidogo, nimewahi kushuhudia chuo kimoja wamewavua "shela" masista wa kanisa katoliki waliokuwa wanasoma pale ili isilete picha ya dhehebu flani kutawala sehem hiyo tofauti na wao, masista wale walikua watii, wakavua na kuendelea na masomo, basi ilikua aibu kubwa hata kuwatazama, lkn ndivyo ilivyo, kila mtu na utaratibu wake wa maisha, ukiwa nyumban kwa watu lazima kutii ili upate kilichokuleta baadae ukishaondoka, endelea na maisha yako kadiri ya malezi ya nyumban kwenu.
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.

Hakuna vyuo vingine wakasome? Si waende chuo kikuu cha kiislamu Morogoro? Pale palipokuwa Chuo cha Tanesco?
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Wakati wana apply chuo walikuwa hawajui hayo? Vipi hawakusoma joining instructions?
 
Habari,

Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
kila chuo na taratibu zake, ikizingatia icho ni chuo cha kanisa.
 
Chuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungi.

Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shungi zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo

Achana nao hawa akina kahtaan wafia mila na desturi za kiarabu. Hawajielewi wanataka nini.
 
We inaonekana kuna mwarabu aidha alioa kwenu au wewe binafsi uliolewa na mwarabu manake sijui km naongea na Dume au jike

Halafu huyo mwarabu mlidhani mtamrithi mali zake.
sasa kapiga mimba kisha kaondoka bila kuaga manake kaisha washtukia mtamuua kwa mali zake.
matokeo yake umechukia waarabu wote
Achana nao hawa akina kahtaan wafia mila na desturi za kiarabu. Hawajielewi wanataka nini.
 
Back
Top Bottom