jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Naona hasa chuki za waziwazi juu ya uislam.
Islam is a mental illness
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hasa chuki za waziwazi juu ya uislam.
Wananuka uvundo hadi kwenye nyuci na kusababisha kero kwa wengineHizo ngou wanavaa wao ila joto unasikia wewe. Ajabu hii
Uislamu ndio uĺianza kuwa na chuki na wasio waislamu au hilo haulijui?Naona hasa chuki za waziwazi juu ya uislam.
Naona upo nje ya mada ,ile inapunguza kwa kumlinda mwanamke kiheshima .Sio kweli kama ni hivyo madaktari wanaume hospitalii wangeshikwa ubakaji kila siku
Ukware tu wa wanaume waislamu hawawezi kudhibiti matamanio
Sasa mwislamu mfano amended beach zetu hizi akute wanawake waliovaa vichupi tu na visibility si dude.litavimba na kujikojolra hadi akojoe damu
Lakini unakuta wanaume kibao wanaojielewa na kudhibiti matamanio wala hawana habari nao hata wauza madafu tu wanaune rijali wanaendelea tu kuuza madafu yao wala nyege hawapandishi
Kubalini tu kuwa dini ya kiislamu wanaume hawana uwezo wa kudhibiti matamanio tofauti na dini zingine
Utaratibu wao ni upi.....hebu uweke hapa tuone nani mlalamishi.....??Kila kitu kina taratibu zake! Ziheshimiwe...!!!
Je binti wa kikristo anaruhusiwa kuwa kichwa wazi chuo cha kiislamu morogoro?Ndio Tanzania hii kuna hospital pia hazitaki mtu kuvaa stara
Mavazi tunaamini hayampeleki mtu mbinguniKwa hiyo nyie pale kanisani mna double standards ,kweny mavazi😅
Kwani analazimishwa kuswali? Kichwa ni stara kwake !Je binti wa kikristo anaruhusiwa kuwa kichwa wazi chuo cha kiislamu morogoro?
Kuvaa uchi kupoje? Na nini maana ya uchi?Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.
Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Hicho Cha Moro walipewa Bure,Cha ajabu kimewashindaNi sawa na Muislamu kuingia kanisani kwa hiyari yake, halafu alazimishe kutawadha, na kuvua viatu. Chuo chao halafu mje na masharti. Kwanini Wasiende Morogoro Muslim university?
Nimekuuliza chuo cha kiislamu morogoro kinaruhusu mwanafunzi asìe muislamu kuwa kichwa wazi?Kwani analazimishwa kuswali? Kichwa ni stara kwake !
Kufunika kichwa ni stara, yaani mpaka msiba ndio mnafunika kichwa..
Mavazi hyampeleki mtu peponi, ni uongo wa karne ..Nenda kanisani uchi.Mavazi tunaamini hayampeleki mtu mbinguni
Hatuna uniform za kanisani
Wewe vaa Ulichojalliwa tukiwa kanisani kila mtu anaabudu Mungu na kumwangalia Mungu sio nani kavaa nini,ana nguo au yuko uchi .Kanisani ibadan sio sehemu ya kuangaliana ni mtu na Mungu basi
Nimekuambia avae stara , kwa sababu ibada hajalazimishwa ila avae stara.Nimekuuliza chuo cha kiislamu morogoro kinaruhusu mwanafunzi asìe muislamu kuwa kichwa wazi?
Alie vaa juba na wewe unae vaa kimini mbele ya wanao wakiume na baba yako na kaka zako mapaja makwapa yakiwa wazi nani punguani?hata kulala nao kitanda 1 unaweza sababu huna haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke halindwi kiheshima anajilinda mwenyewe akipata mafunzo sahihi kwa mama yakeNaona upo nje ya mada ,ile inapunguza kwa kumlinda mwanamke kiheshima .
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Usahihi ni kuwa kama unaenda kusoma kny taasisi ya kikristo uwe na uhakika kuwa utaendana na miiko na taratibu zao, vivyo hivyo kama mkristo ataamua kusoma taasisi za Kiislam lazima awe na uhakika kuwa ataendana na taratibu na miiko ya Kiislam.
Kwani nguo zilizo ruhusiwa au kutoruhusiwa kuvalia chuoni hapa ni zipi?Kama chuo kimesajiliwa na Wuzara au mamlaka husika hakiruhusiwi kuendeshwa kidini tena. Labda uniambie kimekuwa senior seminary
Anae vaa Juba kikawaida kabisa amejisiti vizuri , huwa napenda wanawake wa kiislamu wanavyo vaa.Alie vaa juba na wewe unae vaa kimini mbele ya wanao wakiume na baba yako na kaka zako mapaja makwapa yakiwa wazi nani punguani?hata kulala nao kitanda 1 unaweza sababu huna haya