Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Wanafunzi wa kike wa kiislamu wanazuiliwa kuivaa stara Chuo cha Mafunzo ya Sayansi za Afya Hydom

Kwani muongozo wa mavazi unasemaje..??......

Taratibu za kuchukua wanafunzi zinasemaje.....??

Kama utaratibu wao unaruhusu kuchukua wanafunzi wa imani zote basi hawana budi kuheshimu utaratibu wa Imani zingine.......

Kama hakuna muongozo wa mavazi kwenye taasisi yao basi hawatakiwi kuwasumbua walioamua kuvaa kulingana na utaratibu wao unless kama wanavunja utaratibu wa taasisi...........

Kama ambavyo wanaona sawa kwa wengine kuvaa vimini na suruali basi pia iwe sawa kwa wengine kuvaa hijab na Stara..........
 
Sio kweli kama ni hivyo madaktari wanaume hospitalii wangeshikwa ubakaji kila siku
Ukware tu wa wanaume waislamu hawawezi kudhibiti matamanio

Sasa mwislamu mfano amended beach zetu hizi akute wanawake waliovaa vichupi tu na visibility si dude.litavimba na kujikojolra hadi akojoe damu

Lakini unakuta wanaume kibao wanaojielewa na kudhibiti matamanio wala hawana habari nao hata wauza madafu tu wanaune rijali wanaendelea tu kuuza madafu yao wala nyege hawapandishi

Kubalini tu kuwa dini ya kiislamu wanaume hawana uwezo wa kudhibiti matamanio tofauti na dini zingine
Naona upo nje ya mada ,ile inapunguza kwa kumlinda mwanamke kiheshima .

Ukisema kwenda beach ,hakuna sheria ya kwenda kuangalia wanawake wakiwa uchi beach .


Mambo ni mengi ili kupunguza visa ,najua hata nyie hampendi wanawake haswa ndugu zetu watembee na mavazi ya hivyo ...Vile tu wenyewe mnaweka ushabiki mbele .
 
Kwa hiyo nyie pale kanisani mna double standards ,kweny mavazi😅
Mavazi tunaamini hayampeleki mtu mbinguni
Hatuna uniform za kanisani
Wewe vaa Ulichojalliwa tukiwa kanisani kila mtu anaabudu Mungu na kumwangalia Mungu sio nani kavaa nini,ana nguo au yuko uchi .Kanisani ibadan sio sehemu ya kuangaliana ni mtu na Mungu basi
 
Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.

Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Kuvaa uchi kupoje? Na nini maana ya uchi?
 
Ni sawa na Muislamu kuingia kanisani kwa hiyari yake, halafu alazimishe kutawadha, na kuvua viatu. Chuo chao halafu mje na masharti. Kwanini Wasiende Morogoro Muslim university?
Hicho Cha Moro walipewa Bure,Cha ajabu kimewashinda
 
Kwani analazimishwa kuswali? Kichwa ni stara kwake !

Kufunika kichwa ni stara, yaani mpaka msiba ndio mnafunika kichwa..
Nimekuuliza chuo cha kiislamu morogoro kinaruhusu mwanafunzi asìe muislamu kuwa kichwa wazi?
 
Mavazi tunaamini hayampeleki mtu mbinguni
Hatuna uniform za kanisani
Wewe vaa Ulichojalliwa tukiwa kanisani kila mtu anaabudu Mungu na kumwangalia Mungu sio nani kavaa nini,ana nguo au yuko uchi .Kanisani ibadan sio sehemu ya kuangaliana ni mtu na Mungu basi
Mavazi hyampeleki mtu peponi, ni uongo wa karne ..Nenda kanisani uchi.

Mavazi hata kukaa uchi ni ruksa ukiwa kwako ,ila unapoenda kweny hadhara lazima uangalie na wenzio nao itakuwaje kwenu athari za mavazi yako.

Amri ya sita uzinzi ,basi mavazi ya hovyo yanachochea uzinzi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alie vaa juba na wewe unae vaa kimini mbele ya wanao wakiume na baba yako na kaka zako mapaja makwapa yakiwa wazi nani punguani?hata kulala nao kitanda 1 unaweza sababu huna haya
 
Naona upo nje ya mada ,ile inapunguza kwa kumlinda mwanamke kiheshima .
Mwanamke halindwi kiheshima anajilinda mwenyewe akipata mafunzo sahihi kwa mama yake

Kwenye Ukristo mama ndie mwenye kazi ya kufunza mtoto wa kike
Kwenye Uislamu kitu cha ajabu unakuta wanaume wa kiislamu ndio hujitia kufunza adabu na heshima wanawake na wasimamia sharia za mwanamke.wa kiislamu avaaje asipovaa wanatembeza mikwaju kana kwamba wanawake hawawezi kujisimamia na kujua kujiheshimu kukoje
 
Usahihi ni kuwa kama unaenda kusoma kny taasisi ya kikristo uwe na uhakika kuwa utaendana na miiko na taratibu zao, vivyo hivyo kama mkristo ataamua kusoma taasisi za Kiislam lazima awe na uhakika kuwa ataendana na taratibu na miiko ya Kiislam.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Kama chuo kimesajiliwa na Wuzara au mamlaka husika hakiruhusiwi kuendeshwa kidini tena. Labda uniambie kimekuwa senior seminary
Kwani nguo zilizo ruhusiwa au kutoruhusiwa kuvalia chuoni hapa ni zipi?
 
Alie vaa juba na wewe unae vaa kimini mbele ya wanao wakiume na baba yako na kaka zako mapaja makwapa yakiwa wazi nani punguani?hata kulala nao kitanda 1 unaweza sababu huna haya
Anae vaa Juba kikawaida kabisa amejisiti vizuri , huwa napenda wanawake wa kiislamu wanavyo vaa.
 
Back
Top Bottom