chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Bado kijana mdogo sana 2012 form sixDah umenikumbusha mbali sie ndo tulimaliza iyo 2012 form six kipindi icho wengi wenu humu hamjazaliwa ilikuwa kupata div 3 ya PCB ulikuwa unaonekana we n kichwa hatari
Kabisa jukwaani si pamchezo lazma uwetengeneze mazingira mapema.Mwakani uchaguzi ndugu watu wanatengeneza mazingira ya ushindi mapema
Zamani sekondari jitu linasoma zee limeacha mke hadi nyumbani masomo yatapandaje? Umri ulichangia kizazi cha zamami kutofaulu sanaAcha janja janja wewe, kubali tu kizazi chenu kilikua cha vilaza kuliko generation Z ya sasa.
Kizazi chenu cha vilaza, madomo zege na washamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisaUkitaka kuamini kuwa hawajielewi na wamefaulu wape mitihani hiyo hiyo leo
Hizo past paper madogo wamesha solve sanaIli niamini madogo wapo vizuri niwape ile paper ya Advance Maths, Chemistry na Physics ya 2013...alafu nione izo One zao wakitoboa nitajua madogo wapo vema
hakuna kitu kizazi hiki wanapitishwa tu alafu wanasifiwa wamefaulu uku kichwani hamna kitu.Acha janja janja wewe, kubali tu kizazi chenu kilikua cha vilaza kuliko generation Z ya sasa.
Kizazi chenu cha vilaza, madomo zege na washamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi 2009 mkuu!!hatari!Dah umenikumbusha mbali sie ndo tulimaliza iyo 2012 form six kipindi icho wengi wenu humu hamjazaliwa ilikuwa kupata div 3 ya PCB ulikuwa unaonekana we n kichwa hatari
Ukichunguza matokeo ya wanafunzi wa form six 1960-2014 walikua ni miamba kweli kweli, yaani mtu anatambulika karibu kijiji kizima kwamba kijana wa flani kafaulu, mimi binafsi nilikua nikikutana na mtu ameenda form five nilikua namuona watofauti saana, heshima nyingi mtaani, na matokeo yao miaka hiyo yalikua ni mabaya sana.
Refers matokeo ya ACSEE 2012. Hapa hata PCB mwenye three ya 15 alisoma udaktari...
View attachment 3042266View attachment 3042267View attachment 3042268View attachment 3042270View attachment 3042270
View attachment 3042271
Baada ya hapo kikaingia kizazi cha 2000, ambapo tunawaona kama wazinguaji, wasiokua na maadili lakini wananyoosha balaa, fikiria zamani shule zilikua zinajulikana, minaki, Milambo, pugu, n.k...
Lakini sasa hivi madogo wanaenda shule za hovyo, shule inaitwa kasangezi, sijui Ziba ya huko igunga lakini wanapasua balaa.
Miaka hii kusoma udaktari bila division 1 point 6 hupati udaktari...
View attachment 3042275View attachment 3042276
Swali je madogo wa siku hizi wanauelewa kuliko wa miaka ya zamani? Mtaala hujabadilika sana waliosoma biology 2005 bs, ndio wanachokisoma watoto wa sikuhizi.
Pia soma:Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26
kwamba physics material huwa hayapatikani? maana somo linaendelea kuwa gumu bila kujali upatikanaji wa materialsnadhani ni upatikanaji wa materials umekuwa rahisi.....lakini hiyo point ni kwa wale tu ambao wanasoma shule za serikali lakini hizi za private kuna janja janja mingi nina uhakika na hilo
Ulishawahi kumuita mmoja wao ukajipima nae shule?Sema wanafaulishwa sana ila kichwani empty.
Unaota madaktari walioko hospitalini Bingwa vijana wadogo tu wanapiga kazi vizuri mnohakuna kitu kizazi hiki wanapitishwa tu alafu wanasifiwa wamefaulu uku kichwani hamna kitu.
Usomaji umekuwa rahisi sana siku hizi, vitabu vingi, vitini, walimu wanafundisha sana.Ukichunguza matokeo ya wanafunzi wa form six 1960-2014 walikua ni miamba kweli kweli, yaani mtu anatambulika karibu kijiji kizima kwamba kijana wa flani kafaulu, mimi binafsi nilikua nikikutana na mtu ameenda form five nilikua namuona watofauti saana, heshima nyingi mtaani, na matokeo yao miaka hiyo yalikua ni mabaya sana.
Refers matokeo ya ACSEE 2012. Hapa hata PCB mwenye three ya 15 alisoma udaktari...
View attachment 3042266View attachment 3042267View attachment 3042268View attachment 3042270View attachment 3042270
View attachment 3042271
Baada ya hapo kikaingia kizazi cha 2000, ambapo tunawaona kama wazinguaji, wasiokua na maadili lakini wananyoosha balaa, fikiria zamani shule zilikua zinajulikana, minaki, Milambo, pugu, n.k...
Lakini sasa hivi madogo wanaenda shule za hovyo, shule inaitwa kasangezi, sijui Ziba ya huko igunga lakini wanapasua balaa.
Miaka hii kusoma udaktari bila division 1 point 6 hupati udaktari...
View attachment 3042275View attachment 3042276
Swali je madogo wa siku hizi wanauelewa kuliko wa miaka ya zamani? Mtaala hujabadilika sana waliosoma biology 2005 bs, ndio wanachokisoma watoto wa sikuhizi.
Pia soma:Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26
Mzee wa KemiaMi 2009 mkuu!!hatari!