Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Izo dharau yaan 2012 namaliza form six unaona bado mdogo ww umemaliza mwaka gani ππππππππππBado kijana mdogo sana 2012 form six
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izo dharau yaan 2012 namaliza form six unaona bado mdogo ww umemaliza mwaka gani ππππππππππBado kijana mdogo sana 2012 form six
2001Izo dharau yaan 2012 namaliza form six unaona bado mdogo ww umemaliza mwaka gani ππππππππππ
Huwezi hata kuandika kwa usahihi, wala kupangilia hoja zako na unawalaumu waliokuletea uhuru na kutengeneza miundombinu yote unayotumia?Ukitaka kujua wazee wa zamani walisoma ujinga angalia nchi hii walivyoipeleka
Walileta azimio la Arusha wakataifisha mali za watu waliojipatia mitaji na biashara kwa nguvu zao .Halafu wakaja na ujinga mwingine siasa ya ujamaa na kujitegemea uliotia umaskini wananchi na taifa wakaja kuua na elimu wakaanzishe shule za UPE ambazo mwalimu alikuwa aliyemaliza darasa la saba
Kizazi cha sasa kikagomea yote na kufuta ujinga wao walioanzisha kwenye hii nchi
Mzee akisema ohh sisi eliim8 yetu ilikuwa kubwa muulize cha maana mlichoifanyia nchi nini? Mashirika ya umma hivyo vizee viliua yote.Zero competence kwenye uendeshaji mashirika
Kuna haja kuwa na siku maalumu ya generation Z ya kuvizomea hivyo vizee vya zamani.Iwe ni siku ya kitaifa na ya mapumziko
Acha uongo huo mwaka ungekuwa mzee ungekuwa huna time na JF humu2001
ushanielewa lakini unakaza fuvukwamba physics material huwa hayapatikani? maana somo linaendelea kuwa gumu bila kujali upatikanaji wa materials
πππAcha janja janja wewe, kubali tu kizazi chenu kilikua cha vilaza kuliko generation Z ya sasa.
Kizazi chenu cha vilaza, madomo zege na washamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaangalie matokeo ya physics, sawa kuna mabadiliko makubwa kwenye ufaulu kuwa juu lakini ufauli huo hauhusishi physics, kifupi ni kwamba ufaulu haujaongezeka kwa kasi iliyopo.ushanielewa lakini unakaza fuvu
Personally nilipata Mathematics O-Level D mwaka 1978. Wanangu 2 walikuwa weak kwenye somo hilo na mimi nikawa ndiyo mwalimu wao. Mmoja alifanya NECTA mwaka 2009 alapata hesabu "A: na mwingine mwaka 2011 akapata hesabu "C".Ukichunguza matokeo ya wanafunzi wa form six 1960-2014 walikua ni miamba kweli kweli, yaani mtu anatambulika karibu kijiji kizima kwamba kijana wa flani kafaulu, mimi binafsi nilikua nikikutana na mtu ameenda form five nilikua namuona watofauti saana, heshima nyingi mtaani, na matokeo yao miaka hiyo yalikua ni mabaya sana.
Refers matokeo ya ACSEE 2012. Hapa hata PCB mwenye three ya 15 alisoma udaktari...
View attachment 3042266View attachment 3042267View attachment 3042268View attachment 3042270View attachment 3042270
View attachment 3042271
Baada ya hapo kikaingia kizazi cha 2000, ambapo tunawaona kama wazinguaji, wasiokua na maadili lakini wananyoosha balaa, fikiria zamani shule zilikua zinajulikana, minaki, Milambo, pugu, n.k...
Lakini sasa hivi madogo wanaenda shule za hovyo, shule inaitwa kasangezi, sijui Ziba ya huko igunga lakini wanapasua balaa.
Miaka hii kusoma udaktari bila division 1 point 6 hupati udaktari...
View attachment 3042275View attachment 3042276
Swali je madogo wa siku hizi wanauelewa kuliko wa miaka ya zamani? Mtaala hujabadilika sana waliosoma biology 2005 bs, ndio wanachokisoma watoto wa sikuhizi.
Pia soma:Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26
Hajui kama uko na 32-35 sasahivi πIzo dharau yaan 2012 namaliza form six unaona bado mdogo ww umemaliza mwaka gani ππππππππππ
Miaka hii kupata MD kazi sana labda kcmcWazee mimi ntaleta mrejesho mwaka kesho nta_reseat japo imepita miaka 12 toka nihitimu kidato cha sita. ntarudia mtihani PCM matoke ntayopata ndo nta comfirm nachokiamini kuwa saivi elimu yetu kila mtu ni kufaulu tu.
mwaka huo tuliosoma PCM hakuna mtu naemjua alie pata one
, physics kuna mtu mmoja tu ndo namjua aliye pata C, kuna mshikaji wangu ni engineer alikuwa na E physics.
Mwaka jana kuna mdogo wangu PCB alipata one ya nane nilikuwa namfanyia application cha kushangaza akawa hapati chuo(alikuwa anataka medicine), huyu dogo O'level alikuwa na one ya 11 form two one ya 7, lakini nilikuwa namfundisha naona kabisa kichwani mweupe yaani hana maajabu yoyote.
Ni kweli, alieishia darasa la saba 1960-1980 anajua kusoma vizuri na kuandika vizuri kuliko darasa la saba wa miaka hii.Personally nilipata Mathematics O-Level D mwaka 1978. Wanangu 2 walikuwa weak kwenye somo hilo na mimi nikawa ndiyo mwalimu wao. Mmoja alifanya NECTA mwaka 2009 alapata hesabu "A: na mwingine mwaka 2011 akapata hesabu "C".
Na wanakiri kuwa mimi ndiye mwalimu wao na hawanizidi mpaka leo.
Ushhuhuda tu, conclusion weka mwenyewe
ELIMU SASA HIVI RAHISI , UJIO WA INTERNET NA UPATIKANAJI WA COMPUTER UMEFANYA MAMBO YAWE MEPESI. ENZI ZETU UNAWEZA KUTAFUTA TAFSIRI YA NENO NUSU SAA NZIMA SASA HIVI UKIWEKA TU GOOGLE KITU IMOOOUkichunguza matokeo ya wanafunzi wa form six 1960-2014 walikua ni miamba kweli kweli, yaani mtu anatambulika karibu kijiji kizima kwamba kijana wa flani kafaulu, mimi binafsi nilikua nikikutana na mtu ameenda form five nilikua namuona watofauti saana, heshima nyingi mtaani, na matokeo yao miaka hiyo yalikua ni mabaya sana.
Refers matokeo ya ACSEE 2012. Hapa hata PCB mwenye three ya 15 alisoma udaktari...
View attachment 3042266View attachment 3042267View attachment 3042268View attachment 3042270View attachment 3042270
View attachment 3042271
Baada ya hapo kikaingia kizazi cha 2000, ambapo tunawaona kama wazinguaji, wasiokua na maadili lakini wananyoosha balaa, fikiria zamani shule zilikua zinajulikana, minaki, Milambo, pugu, n.k...
Lakini sasa hivi madogo wanaenda shule za hovyo, shule inaitwa kasangezi, sijui Ziba ya huko igunga lakini wanapasua balaa.
Miaka hii kusoma udaktari bila division 1 point 6 hupati udaktari...
View attachment 3042275View attachment 3042276
Swali je madogo wa siku hizi wanauelewa kuliko wa miaka ya zamani? Mtaala hujabadilika sana waliosoma biology 2005 bs, ndio wanachokisoma watoto wa sikuhizi.
Pia soma:Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26
'D' ya miaka hiyo ni 'A' ya miaka hii. Siku hizi si ajabu kukuta mtoto aliyefeli form two anafaulu form four.Personally nilipata Mathematics O-Level D mwaka 1978. Wanangu 2 walikuwa weak kwenye somo hilo na mimi nikawa ndiyo mwalimu wao. Mmoja alifanya NECTA mwaka 2009 alapata hesabu "A: na mwingine mwaka 2011 akapata hesabu "C".
Na wanakiri kuwa mimi ndiye mwalimu wao na hawanizidi mpaka leo.
Ushhuhuda tu, conclusion weka mwenyewe
Mtihani wenyewe wa hesabu wa Form Four ni multiple choice What do you expect'D' ya miaka hiyo ni 'A' ya miaka hii. Siku hizi si ajabu kukuta mtoto aliyefeli form two anafaulu form four.