Wanafunzi wa kizazi hiki wanafaulu sana. Je, ni bora kuliko nyie?

Now Days mwanafunzi wa Form Three na yy anatumia Mathematics Calculator. Je Elimu inakwenda wap....? Wanafunzi wa siku hizi weng hawajua Mathematics Table
 
Kiukweli tuache kubeza kupanda kwa ufaulu wa madogo. Sisi tuliohitimu form six zamani mazingira yetu ya kufaulu vizuri yalikuwa magumu kutokana na sababu zifuatazo;
1.Ukosefu au upungufu mkubwa wa walimu mashuleni
2.Ukosefu/upungufu mkubwa wa vitabu sahihi vya kuendana na syllabus
3. Miundombinu mibovu na isiyojitosheleza ilipunguza morali ya kusoma kwa bidii, mfano
4. Maabara za masomo ya sayansi hazikuwa vizuri kwa majengo na vifaa kama sasa
5. Ukosefu wa njia mbadala za kupata materials ya kujisomea kama vile google search au youtube.
6. Ukosefu wa tuition bora hasa kwa masomo ya science.
Mimi ni mhitimu wa mwaka 2000 HGE, tuwape maua yao vijana kwa ufaulu mzuri.
 
umezingatia alama za ufauli zamani na sasa ile iliyokua ikiitwa divisheni wanibilikua wani kweli.... aliepata 4 miaka ya 90 mpaka 2005 huyo sasa hivi angekua na tuu au wani nzuri tu hutaki saga chupa unywe
 
Hii shule inachukua wanafunzi kutoka kila mkoa ndani ya Tanzania. Si busara kuamini kwamba hao wanafunzi wote ni Wamakonde ama wamakua kisa ipo Mtwara.
 
Umemaliza kila kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Cantrii wee, Em sema kweliii?
 
Ili niamini madogo wapo vizuri niwape ile paper ya Advance Maths, Chemistry na Physics ya 2013...alafu nione izo One zao wakitoboa nitajua madogo wapo vema
Akati niko Advance, wakati wa mitihani ya Pre national,
Ticha wa Maths alileta paper LA Math, 2013 Necta km lilivyo.

Tokeo lilivyotokaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni full kukimbianaa, Woiiiih. Lile paper ni Konyoooo, Khaaah
 
Kuna jamaa alisema



Huenda idadi ya nafasi za Shule zimejengwa nyingi kuliko zamani ?!

Mwingine akasema wakati wa awam ilopita ile nidhamu ya woga ilipelekea kufaulisha kuogopa kutumbuliwa iwapo kutatokea some failures ?!

Mwingine akawaza huenda holo limeongezwa? Kitu ambacho kinatia shaka maana kanuni za size ya goli zinapaswa kuzingatiwa bila kujali kitakachojili?!
Hii Mbona inaweza kuwa ni risk kwa hatima ya elimu ya wasomi ?!

Ukweli ni upi sasa?
 
Mi naona zamani vyuo vilikua vichache sana so watu wengi wakifaulu ilikua ni hatari kwa wizara, itawapeleka wapi?. So walikua na idadi fulani ya watu wanaotakiwa kufaulu ili wasije kuzidi idadi ya vyuo vilivyopo nchini. Walikua wanastandardize matokeo.

Siku hizi vyuo ni vingi sana na vinahitaji watu, hakuna haja ya kufelisha watoto. Nina ndugu zangu wa karibu ni walimu na wanahusika kwenye marking ya mitihani ya NECTA. Wanasema kwamba mwanafunzi akiwa na idea tuu hata kama ni kidogo inatakiwa umpe marks. Ukimkosesha basi msimamizi lazima akuzingue.

Tukubali tuu zama zimebadirika pia mfumo unawabeba. Tukikaza sana hivyo vyuo tutafugia kuku 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu hakika miaka ya 1998_2003 kuhama shule ilikuwa mziki,ukimuambia mzazi naye anakushangaa.
 
Hakika mkuu
 
Mkuu hakika miaka ya 1998_2003 kuhama shule ilikuwa mziki,ukimuambia mzazi naye anakushangaa.
Ndo ivo mkuu na huenda sio kua mambo yamekua rahisi ila ni vile upatikanaji wa material s umerahisishwa zaidi.
 
Usisahau kuleta mrejesho mkuu📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…