Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

  1. huitwi kwenye interview? Jinsi gani ya kuboresha cv yako
  2. Mambo matano ambayo hupaswi kufanya hutapata kazi hiyo
  3. Jinsi ya kujibu maswali 5 ambayo ni common kwenye interview
  4. Mambo matano ambayo unapaswa kufanya kwenye cv yako
  5. Sababu za cv yako kutopewa kipaumbele kwa waajiri
  6. Rangi za nguo za kuvaa kwenye usaili
  7. Hatari ya kuongopa kwenye interview
  8. Je unapaswa kuzungumza kuhusu maisha yako binafsi kwenye interview
  9. Kwanini hupati kazi
  10. Jinsi ya kuandika cover letter
Soma Taarifa kamili hapa [emoji116]

Join to our channel for instant update

CV WRITING AND GUIDELINES

  1. Not Getting Interviews? How To Improve Your CV Success Rate
  2. Five things you should never do if you don’t get the job
  3. HOW TO ANSWER THE 5 MOST COMMON JOB INTERVIEW QUESTIONS
  4. etc
SOMA TIPS ZOTE HAPA
BOFYA HAPA KUSOMA MABANDIKO YOTE

mambo 15 ambayo ukiyafanya huwezi kukosa kazi
BOFYA HAPA KUSOMA MAELEZO YOTE

Bila connection Bongo hupati kazi ng'o! Nepotism is your number one CV...

Na huu ni uzi wa vitabu vya shule na vyuoni mkuu. Pole kwa ban [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Safi sana mleta uzi. Nadhani katika nyuzi za faida humu jf hii ni mojawapo.

Barikiwa Mzee Mwenzangu. 🙏🙏
Asante sana rafiki.
Nilisoma shule haina vitabu kabisa na sikuipenda hali hiyo.
Ndo maana tunafanya hivi
Na wewe kama una vitabu vyo vyote vya kitaaluma viweke hapa tu.
Happy New Year
 
Asante sana rafiki.
Nilisoma shule haina vitabu kabisa na sikuipenda hali hiyo.
Ndo maana tunafanya hivi
Na wewe kama una vitabu vyo vyote vya kitaaluma viweke hapa tu.
Happy New Year
Hakika rafiki na ndio sababu wanasema ikibidi kwa namna tulivyoishi sisi miaka hiyo basi watoto wetu wasiishi hivyo.

Usijali nikivipata nitatupiamo na mie ili wengi tufaidike rafiki.

Ahsante na kwako pia. 🙏
 
Back
Top Bottom