Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kuna uzi wa siasa nilimdis mwenezi wa chama tawala basi hawakuchelewa wakanila kichwaUmemaliza ban yako? Ulikosa nini? Pole na karibu tena [emoji1545]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uzi wa siasa nilimdis mwenezi wa chama tawala basi hawakuchelewa wakanila kichwaUmemaliza ban yako? Ulikosa nini? Pole na karibu tena [emoji1545]
Thanks bossPhysical Geography
Kwenye siasa mi huwa sikanyagi. Ni stress na kutukanana tu mtindo mmoja. Matokeo yake ban ni nje nje yaani [emoji16]Kuna uzi wa siasa nilimdis mwenezi wa chama tawala basi hawakuchelewa wakanila kichwa
Bila connection Bongo hupati kazi ng'o! Nepotism is your number one CV...Soma Taarifa kamili hapa [emoji116]
- huitwi kwenye interview? Jinsi gani ya kuboresha cv yako
- Mambo matano ambayo hupaswi kufanya hutapata kazi hiyo
- Jinsi ya kujibu maswali 5 ambayo ni common kwenye interview
- Mambo matano ambayo unapaswa kufanya kwenye cv yako
- Sababu za cv yako kutopewa kipaumbele kwa waajiri
- Rangi za nguo za kuvaa kwenye usaili
- Hatari ya kuongopa kwenye interview
- Je unapaswa kuzungumza kuhusu maisha yako binafsi kwenye interview
- Kwanini hupati kazi
- Jinsi ya kuandika cover letter
Join to our channel for instant update
CV WRITING AND GUIDELINES
SOMA TIPS ZOTE HAPA
- Not Getting Interviews? How To Improve Your CV Success Rate
- Five things you should never do if you don’t get the job
- HOW TO ANSWER THE 5 MOST COMMON JOB INTERVIEW QUESTIONS
- etc
BOFYA HAPA KUSOMA MABANDIKO YOTE
mambo 15 ambayo ukiyafanya huwezi kukosa kazi
BOFYA HAPA KUSOMA MAELEZO YOTE
![]()
Kilimanjaroyetu: SCHOLARSHIP
kilimanjaroyetu.com helps students to find college admission information, course, school etc. This website helps students identify the degree programs offered by universities in Tanzania, as well as academic information provided by international universities inclusion of; Science & Engineering...www.kilimanjaroyetu.com
Asante sana rafiki.Safi sana mleta uzi. Nadhani katika nyuzi za faida humu jf hii ni mojawapo.
Barikiwa Mzee Mwenzangu. 🙏🙏
Hakika rafiki na ndio sababu wanasema ikibidi kwa namna tulivyoishi sisi miaka hiyo basi watoto wetu wasiishi hivyo.Asante sana rafiki.
Nilisoma shule haina vitabu kabisa na sikuipenda hali hiyo.
Ndo maana tunafanya hivi
Na wewe kama una vitabu vyo vyote vya kitaaluma viweke hapa tu.
Happy New Year
Kaka unafundamental of physics kwa o levelNina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
Agriculture Notes Form onenina uhitaji wa kitabu au notes za somo la agriculture olevel