Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Bila connection Bongo hupati kazi ng'o! Nepotism is your number one CV...

Na huu ni uzi wa vitabu vya shule na vyuoni mkuu. Pole kwa ban [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Safi sana mleta uzi. Nadhani katika nyuzi za faida humu jf hii ni mojawapo.

Barikiwa Mzee Mwenzangu. πŸ™πŸ™
Asante sana rafiki.
Nilisoma shule haina vitabu kabisa na sikuipenda hali hiyo.
Ndo maana tunafanya hivi
Na wewe kama una vitabu vyo vyote vya kitaaluma viweke hapa tu.
Happy New Year
 
Asante sana rafiki.
Nilisoma shule haina vitabu kabisa na sikuipenda hali hiyo.
Ndo maana tunafanya hivi
Na wewe kama una vitabu vyo vyote vya kitaaluma viweke hapa tu.
Happy New Year
Hakika rafiki na ndio sababu wanasema ikibidi kwa namna tulivyoishi sisi miaka hiyo basi watoto wetu wasiishi hivyo.

Usijali nikivipata nitatupiamo na mie ili wengi tufaidike rafiki.

Ahsante na kwako pia. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…