Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Nimekitafuta kitabu hiki pdf freedownload sijafanikiwa.naomva ukiweke hapa.Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Mods please msiunganishe uzi huu na nyuzi zingine za vitabu.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya vitabu vya shuleni na vyuoni tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu Kama itakupendeza niwezeshe notes za kingereza kidato Cha tano na sita pamoja na uchambuzi wa vitabu vya fasihi kwa kingereza na kiswahili kwa kidato Cha tano na sitaAsanteni sana nyie majamaa. Madogo washindwe wenyewe tu aisee. Mungu Awabariki sana!
Nadhani zipo nyumaMkuu Kama itakupendeza niwezeshe notes za kingereza kidato Cha tano na sita pamoja na uchambuzi wa vitabu vya fasihi kwa kingereza na kiswahili kwa kidato Cha tano na sita
Hapana,nimepitia Uzi muzima bila mafanikioNadhani zipo nyuma
Chand za somo gani hizo mkuuS. Chand Class XI
Chand za somo gani hizo mku
Wewe...Wakuu hivi ni kweli Tanzania hakuna softcopy za s chand,maana nazisaka za physics na pure math,lakini mrejesho umekuwa mdogo.kina kaka enginear hebu fungukeni mmezificha wapi?,au mnapunguza namba za mainginear automatic? ,msaada kwa alienacho kati ya hivyo au vyote.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wabongo tuko hivyo wala usishangae mkuu. Wewe ukiweza kusaidia saidia tu halafu uende zako. Ukisubiri shukrani kwa Mbongo utazeeka...tena ndo anaenda kukusema vibaya huko aendako...Wewe...
umeshapepewa kitabu kizima cha Chand na itakatikiamo
Hata huji kutoa Asante, Ushapotea kimyakimya..
mxieeeeee!!!!π‘π‘π‘π‘
Mpaka PhD mkuu kuna notes?Naomba mwenye notes za Advanced Research za Masters au Phd anisaidie
Ni vitabu gani sasa vipo kwenye mtaala wa fasihi kwa Kiingereza na Kiswahili?Mkuu Kama itakupendeza niwezeshe notes za kingereza kidato Cha tano na sita pamoja na uchambuzi wa vitabu vya fasihi kwa kingereza na kiswahili kwa kidato Cha tano na sita
Ngoja nivifuatilie nitakupa majibu baadae.Ni vitabu gani sasa vipo kwenye mtaala wa fasihi kwa Kiingereza na Kiswahili?
Angalau taja jina la kitabu na mwandishi wake ili iwe rahisi kwa wasamaria wema kukusaidia.Naombeni vitabu vya degree in electrical engineering; physics na mathematics.