Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani

Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Mods please msiunganishe uzi huu na nyuzi zingine za vitabu.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya vitabu vya shuleni na vyuoni tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]


Nimekitafuta kitabu hiki pdf freedownload sijafanikiwa.naomva ukiweke hapa.
Screenshot_20220114-103250.png
 
Wakuu hivi ni kweli Tanzania hakuna softcopy za s chand,maana nazisaka za physics na pure math,lakini mrejesho umekuwa mdogo.kina kaka enginear hebu fungukeni mmezificha wapi?,au mnapunguza namba za mainginear automatic? ,msaada kwa alienacho kati ya hivyo au vyote.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wewe...
umeshapepewa kitabu kizima cha Chand na itakatikiamo
Hata huji kutoa Asante, Ushapotea kimyakimya..
mxieeeeee!!!!😡😡😡😡
 
Wewe...
umeshapepewa kitabu kizima cha Chand na itakatikiamo
Hata huji kutoa Asante, Ushapotea kimyakimya..
mxieeeeee!!!!😡😡😡😡
Wabongo tuko hivyo wala usishangae mkuu. Wewe ukiweza kusaidia saidia tu halafu uende zako. Ukisubiri shukrani kwa Mbongo utazeeka...tena ndo anaenda kukusema vibaya huko aendako...
 
Mkuu Kama itakupendeza niwezeshe notes za kingereza kidato Cha tano na sita pamoja na uchambuzi wa vitabu vya fasihi kwa kingereza na kiswahili kwa kidato Cha tano na sita
Ni vitabu gani sasa vipo kwenye mtaala wa fasihi kwa Kiingereza na Kiswahili?
 
Back
Top Bottom