Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Mungu Akubariki pia [emoji1545]Huuu Uzi alieanzisha Mungu am'bariki Sana
Na nyote mlitoa misaada mbali mbali humu....
Nimefaidika na nyinyi
Asante mkuu👍Physics Form five
Thank you, sirAlready subscribed!!
Vimeshawekwa.Naomba vitabu vizuri vya History kwa form 5 na si namaanisha History paper one na paper two
Vitabu vya Shaaban Robert hivi hapa:Tafadhari sana ndugu wana JF, naomba msaada wa vitabu hivi:
1. Kusadikika
2. Aliyeionja pepo
3. Siri ya Giningi
Mkuu naomba msaada wa vitabu vya Biology na Chemistry vya advanced level ...ninatanguliza shukraniVitabu vya Shaaban Robert hivi hapa:
View attachment 2229564
View attachment 2229565
View attachment 2229566
Pitia nyuz za juu vimewekwaMkuu naomba msaada wa vitabu vya Biology na Chemistry vya advanced level ...ninatanguliza shukrani
Shukrani mkuu, nimeona vya Chemistry lakini Biology sijaviona...vya A level kama vile Biological science n.k
Tatizo wakishika simu ni kuchati na pono videos badala ya kuchek nondo kama hizi.Kwa kweli hawana kisingizio cha kufeli...
We noma mwanangu. Barikiwa zaidiKitabu cha Historia kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano - Sita
How Europe Underdeveloped Africa - Walter Rodney
View attachment 1879226
Taja jina la kitabu na mwandishi utafutiweShukrani mkuu, nimeona vya Chemistry lakini Biology sijaviona...vya A level kama vile Biological science n.k
Asante mkuu. Na wewe kama una vitabu vya mashuleni au hata mitihani ya nyuma jisikie huru kuviweka hapa tuwasaidie madogo....We noma mwanangu. Barikiwa zaidi
Kwema braza?