Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Mm naomba somo la history & geography a level
 
Vitabu vya Sarufi ya Kiingereza kwa Wanafunzi na Ye Yote Yule Anayetaka Kuimarisha Kiingereza Chake
 

Attachments

Vitabu vya Hesabu (High School na Vyuo)
Mathematics Foundations na How to Think Like a Mathematician
 

Attachments

Mitihani na Notisi Mbalimbali za Kidato cha Pili na cha Nne
Yote ni kwa Hisani ya Mdau Mkubwa wa Mambo ya Elimu Peramiho yetu
Asante sana kamanda

 

Attachments

Vitabu vya Sayansi ya Kompyuta/IT
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…