Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Ilikuwa haijawekwa mkuu. Asante sana aisee. Mavitabu haya ni ghali sana. Ngoja tuwawekee hapa madogo washindwe wenyewe tu. Wengine tulisoma kitabu kimoja mnashea wanafunzi hata 20 dah!
Wabeja sana....
Mimi niliachiwa vitabu na makaka na madada zangu mpaka kinafika kwangu kurasa kibao zimefungiwa vitumbua...
Kwa kweli washindwe wenyewe tu, pia nadhani wanahitaji kupanua akili na kufuata njia zingine mbadala sio tu kufuata vitabu vinavyojulikana kwa majina,
Chemistry, Physics, Biology, Maths, au Geography ni ile ile tu.
Kazi iendelee...

Chemistry books A level
 
Attachments

Wale wenye vitabu vya Shaban Robert na wengineo kama hao naviomba.
Ni kitabu gani cha Shaaban Robert ambacho kimo katika mtaala ama wa kidato cha nne au cha sita?
Hapa tunaweka tu vitabu ambavyo vinatumika mashuleni na vyuoni kwa sasa.​
 
Wabeja sana....
Mimi niliachiwa vitabu na makaka na madada zangu mpaka kinafika kwangu kurasa kibao zimefungiwa vitumbua...
Kwa kweli washindwe wenyewe tu, pia nadhani wanahitaji kupanua akili na kufuata njia zingine mbadala sio tu kufuata vitabu vinavyojulikana kwa majina,
Chemistry, Physics, Biology, Maths, au Geography ni ile ile tu.
Kazi iendelee...

Chemistry books A level
Asante sana mkuu
 
Kitabu cha Historia kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano - Sita

How Europe Underdeveloped Africa - Walter Rodney

photo_2020-08-14_02-24-01.jpg
 
Attachments

Asante sana mkuu Shadow7. Naomba tuuendeleze uzi huu. Nimegundua kuna watu wanafaidika nao. Nakusanya kusanya vitabu zaidi kwa kadri ninavyopata. Wewe pia kama unavyo endelea tu kuviweka hapa. Asante sana
 
Nina vitabu vingi sana mkuu anayetaka ataje tu jina la kitabu chochote kile nitakiweka hapa
 
Back
Top Bottom