Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Mkuu, kama unavyo vya form 6 Kemia na Jiografia msaada wako pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu, nimepata hivi hapa lakini nitaendelea kutafuta zaidi

Chemistry na Geography books
 

Attachments

Kitabu hujakisoma lakini unakikandia? We ulisikia wapi?

Hiki ni kitabu cha Historia. Na Historia maana yake nini? Ni kumulika tulikotoka, tumefikaje hapa tulipo na tufanyeje ili kuwa na future nzuri bila kurudia makosa yale yale ya zamani.

Ni kitabu kizuri sanana kinachopendwa duniani kote - kwa wale waliokwishakisoma na kuona yaliyomo. Ndiyo maana mwandishi wake (Walter Rodney) aliuawa kwa kutegeshewa bomu kwenye gari huko kwao Guyana!
Kina title inayozidi kutuchonganisha na wale waliowahi kuiba rsilimali zetu
 
Physical Geography​
 

Attachments

Back
Top Bottom