Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wakuu,kama kuna mtu ana vitabu au internet sources au notes about importance of communication skills for students who studying bachelor of laws anaweza kunisaidia.
 
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani

Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati

Naomba kitabu cha pharmaceutical calculations pst4
 
Kitabu cha Historia kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano - Sita

How Europe Underdeveloped Africa - Walter Rodney

View attachment 1879226
Hkiki kitabu sijawahi kukisoma lakini "title" yake tu inaonyesha hakina kitu cha maana sana. Watu tunajua kuwa tuliibiwa, huwezi tena kuanza kutueleza namna ambavyo tuliibiwa, hilo halina maana kwetu kwa sasa. La maana ni kwamba mtu anatakiwa atueleze mbinu za kujikwamua kutoka hapa tulipo, baada ya kuwa tumeibiwa. Hicho ndicho cha maana alichotakiwa kufanya mwandishi wa kitabu hiki
 
Kitabu hujakisoma lakini unakikandia? We ulisikia wapi?

Hiki ni kitabu cha Historia. Na Historia maana yake nini? Ni kumulika tulikotoka, tumefikaje hapa tulipo na tufanyeje ili kuwa na future nzuri bila kurudia makosa yale yale ya zamani.

Ni kitabu kizuri sanana kinachopendwa duniani kote - kwa wale waliokwishakisoma na kuona yaliyomo. Ndiyo maana mwandishi wake (Walter Rodney) aliuawa kwa kutegeshewa bomu kwenye gari huko kwao Guyana!
 
Vitabu mbalimbali vya kingereza
 
Attachments

Back
Top Bottom