Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Asanteni sana ndugu, nimepitia pages 1 Hadi 21...nawashukuru sana, naomba mwenye sillabus ya O level education na miongozo ya utungaji wa mitihani ya NECTA O Level japo Sina uhakika sana Kama hiyo ya miongozo Kama ipo au laa.
Nakumbuka kipindi nasoma A Level kipindi hicho tulipewe hizo miongozo.
Natanguliza shukrani sana.
 
Mwenye advanced physics by tom Duncan
Faili ni kubwa na haiwezekani kuliweka hapa moja kwa moja. Kitabu kipo kwenye link hii ya Google Drive. Kipakue hapo. Faili ni safi na halina kirusi cho chote.

 
Back
Top Bottom