Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Naomba ukitume Tena kiongozi
Mbona bado kipo?

Una mtandao mzuri?

Nimejaribu kukishusha (tena kwa kutumia app) kimekubali. Hakikisha una mtandao mzuri na kama device uliyonayo inagoma jaribu kutumia nyingine. Kina MB 48!
 
Naomba ukitume Tena kiongozi

Kila ninachofungua kinagoma,,,,hakina content
Mbona nimefungua vipo vyote, ni labda simu yako haiwezi kufungua pdf documents,

Pia unaweza kufuata hizi link hapo chni ambayo haihitaji kudownload, notes zote zinafunguka, ambopo unaweza kuzi copy na kuzi paste kwenye word document, dont click sehemu zinazosoma download, sio za notes ni za matangazo

Ama una mtandao kimeo au device unayotumia haiko compatible. Vitabu vyote vipo na vinafunguka na kuwa downloaded bila wasiwasi
Baada ya ku-download Nikifungua inaniletea hiyo neno hapo.
Screenshot_20220701-045307.jpg
 
Mbona nimefungua vipo vyote, ni labda simu yako haiwezi kufungua pdf documents,

Pia unaweza kufuata hizi link hapo chni ambayo haihitaji kudownload, notes zote zinafunguka, ambopo unaweza kuzi copy na kuzi paste kwenye word document, dont click sehemu zinazosoma download, sio za notes ni za matangazo

Baada ya ku-download nilitaka kufungua inagoma,,,msaada tafadhari
Screenshot_20220701-045307.jpg
 
Baada ya ku-download nilitaka kufungua inagoma,,,msaada tafadhariView attachment 2277847
Ni shida ya kifaa unachotumia. Kama ni simu jaribu kutumia nyingine. Kama ni kompyuta jaribu kubadilisha browser. Na hakikisha una mtandao wa kuaminika.

Vitabu vyote vipo na hizo links za notes zinafunguka na kusomeka vizuri. Usikazane tu msaada tafadhali. Shida iko kwako.
 
Asante hata huu pia ulionipatia ni msaada mkuu,,,by the way natumia cm ....stay blessed kiongozi
 
Asante brother
Mkuu. Kwa vile hukusema unataka vitabu gani hasa vya Falsafa. Hivi hapa baadhi. Hiki cha kwanza (The Norton Introduction to Philosophy) kinatumika katika vyuo vikuu vingi kwa kozi za mwanzo mwanzo. Nitazidi kukuwekea kwa kadri ninavyovipata. Jaribu pia kutafuta vya Dr. Mihanjo vilivyoandikwa kwa Kiswahili. Ubarikiwe.
 
Attachments

Back
Top Bottom