Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani

Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Mods please msiunganishe uzi huu na nyuzi zingine za vitabu.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya vitabu vya shuleni na vyuoni tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]


Msaada kitabu Cha Msemwa form two mathematics nakitafuta sana
 
Msaada wa kupata hivi vitabuView attachment 2512594View attachment 2512596View attachment 2512597
JamiiForums1210783794.jpg
View attachment 2512595
 
Inarahisisha ukitaja jina la kitabu na mwandishi wake
Driscoll Terence (1987) Technical Drawing for today 2 edition Book 1. By Macmillan Education Ltd. ISBN 0-333-42910-9

Na
S.P William (1980) Drafting Technology and practice devised edition by Glencoe publish Company
 
Back
Top Bottom