Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Naomba msaada wa vitabu hivyi vya kiswahili kidato cha tatu na nne
TAMTHILIYA
1. Orodha
2. Kilio chetu
3. Ngoswe penzi kitovu cha uzembe

RIWAYA
1. Joka la mdimu
2. Watoto wa mama ntilie
3. Takadini

USHAIRI
1. Wasakatonge
2. Malenga wapya
3. Cheka Cheka

NIKIPATA HATA BAADHI HASA TAMTHILIYA NITASHUKURU
 
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani

Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Mods please msiunganishe uzi huu na nyuzi zingine za vitabu.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya vitabu vya shuleni na vyuoni tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Naomba kitabu cha pharmacognosy cha trease and evans
 
Kiukweli sijui lolote kuhusiana na Law ila nilitamani nijifunE hiki kitu. Through books hivyo sijui nianzie wapi niishie wapi
Aaah sawaa sawaa Mkuu... Hapo nimekuelewa...

Tafuta hiki kitabu kwanza ni kizuri sina soft copy yake
IMG_20230606_133312.jpg
 
Kiukweli sijui lolote kuhusiana na Law ila nilitamani nijifunE hiki kitu. Through books hivyo sijui nianzie wapi niishie wapi
Naomba unipe muda nikuandalie baadhi ya vitu muhimu vya kujua... Pamoja na vitabu rahisi kwako..... Nitashare hapa
 
Back
Top Bottom