muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Sasa ndio unawatesa vijana ili watajane? Kama wana ushahidi wawapeleke mahakamaniHuwezi kuchoma shule ukabaki salama.
Ni kuumiza watoto wa watu bila sababu za msingiSasa ndio unawatesa vijana ili watajane? Kama wana ushahidi wawapeleke mahakamani
Mkuu si kila muda ni wa demokrasia tu! Ila wapewe adhabu kulingana na utashi wao isiwe mateso. Watu na serikali wanajipinda kujenga hizo shule elimu yenyewe bado bado!Sasa ndio unawatesa vijana ili watajane? Kama wana ushahidi wawapeleke mahakamani
Waache polisi wafanye kazi yao. Wewe huenda huwezi hata kubaini mwizi uliyekaa nae kwenye gari. Unajua Kuna mbinu ngapi za kubaini wahalifu? Huko mahakamani utawapeleke watu bila ushahidi? Utawashitaki kwa kosa gani?Sasa ndio unawatesa vijana ili watajane? Kama wana ushahidi wawapeleke mahakamani
Hao ni vidato vya 4 waliofeli, unategemea wafanye nini katika jeshi la polisi?Intelijensia ya jeshi la polisi inakwama wapi zama hizi za .com kutumia mabavu?
Mateso ni sehemu ya kutafuta ukweli kutoka kwa muhusikaIntelijensia ya jeshi la polisi inakwama wapi zama hizi za .com kutumia mabavu,??
Waache polisi wafanye kazi yao. Wewe huenda huwezi hata kubaini mwizi uliyekaa nae kwenye gari. Unajua Kuna mbinu ngapi za kubaini wahalifu? Huko mahakamani utawapeleke watu bila ushahidi? Utawashitaki kwa kosa gani?
Hao ni vidato vya 4 waliofeli, unategemea wafanye nini katika jeshi la polisi?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Polisi wafanye kazi yao,kama watawa baini wahusika basi sheria ichukue mkondo wakeSasa ndio unawatesa vijana ili watajane? Kama wana ushahidi wawapeleke mahakamani
Hahaha we phaller mbona umepaniki?Ndio wanaokulinda mpuuzi ww
Una uhakika wao ndo wamechoka au unabwabwaja tu..Huwezi kuchoma shule ukabaki salama.
Hawana intelijensia ya kuwatambua hadi wawatese.? Kwenye kytesa unatesa walioma na wasiokuwemoNimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne.
Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine.
Wanasheria wasaidieni hawa watoto.
Mmh!Ndio wanaokulinda mpuuzi ww
Kwahiyo hutaki wanafunzi wabanwe ili kujua ukweli?Hao ni vidato vya 4 waliofeli, unategemea wafanye nini katika jeshi la polisi?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app