Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

Kwahiyo hutaki wanafunzi wabanwe ili kujua ukweli?
Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.

Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu si kila muda ni wa demokrasia tu! Ila wapewe adhabu kulingana na utashi wao isiwe mateso. Watu na serikali wanajipinda kujenga hizo shule elimu yenyewe bado bado!
Angelikuwa mtoto wako wala usingesema hivyo. Kutesa watu kama njia ya kupata ushahidi ni kosa kubwa. Mara nyingi unaumiza tu watu na wanaweza kutaja hata ambao hawamo ili kujiokoa
 
Una uhakika wao ndo wamechoka au unabwabwaja tu..
Wewe ndo umechoka. Hapa tunazungumzia suala la shule kuchomwa Moto. Waacheni polisi wafanye upelelezi huru kwa mujibu wa sheria na ujuzi wao.
Watu wengine buana sijui mna matatizo gani. Na haya ndo matokeo ya wazazi wenu kujifungulia kwa wakunga wa jadi/nyumbani, mnazaliwa, mnachelewa kulia, mnapata low Apgar score, mnapata udumavu, mwisho mnakuja kuisumbua jamii kwa hoja mlenda zinazochagizwa na kudumaa kwa akili.
 
kwa kweli kama wamechoma shule waache wale kipigo + kipondo, miaka yetu tulikuwa tunafanya uhuni woote lakini si kuchoma shule tulio kuwa tunasoma….
Hii ndiyo mbinu namba moja ya vyombo vya usalama...kutesa hata wasiohusika
 
Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.

Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
wewe ulisikia wapi??
na huyo askari mwenye weredi umemuona kwenye movie gani???

labda hujasoma shule za bweni.
 
toa solution
Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.

Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile aptoa solution hapa tuifate
 
Mtu achome shule umchekewe?, Wanatofauti gani na wale vijana wa ANC miaka ile waliokua wanalipua mitambo na viwanda South Africa?, Hawa wachukulie kama Magaidi tu, hakuna tofauti hapo,Washugulikiwe mpaka wamtaje aliyewatuma
 
Wewe ndo umechoka. Hapa tunazungumzia suala la shule kuchomwa Moto. Waacheni polisi wafanye upelelezi huru kwa mujibu wa sheria na ujuzi wao.
Watu wengine buana sijui mna matatizo gani. Na haya ndo matokeo ya wazazi wenu kujifungulia kwa wakunga wa jadi/nyumbani, mnazaliwa, mnachelewa kulia, mnapata low Apgar score, mnapata udumavu, mwisho mnakuja kuisumbua jamii kwa hoja mlenda zinazochagizwa na kudumaa kwa akili.
Upelelezi huru ndo kutandika watoto vipigo,? Acha kushabikia ujinga we Guruguja..
 
Chanzo cha kutaka kuchoma shule nini?,sasa Polisi nao wameishiwa mbinu za kiuchunguzi mpaka wapige wanafunzi?..
 
Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.

Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wewe unajua njia ngapi za upelelezi? Na Je, unaweza kutaja faida na hasara na Wakati ambao njia hizo zinatumika? Una ujuzi gani katika suala la upelelezi wa matukio ya jinai?
 
Back
Top Bottom