Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.Kwahiyo hutaki wanafunzi wabanwe ili kujua ukweli?
Angelikuwa mtoto wako wala usingesema hivyo. Kutesa watu kama njia ya kupata ushahidi ni kosa kubwa. Mara nyingi unaumiza tu watu na wanaweza kutaja hata ambao hawamo ili kujiokoaMkuu si kila muda ni wa demokrasia tu! Ila wapewe adhabu kulingana na utashi wao isiwe mateso. Watu na serikali wanajipinda kujenga hizo shule elimu yenyewe bado bado!
Wewe ndo umechoka. Hapa tunazungumzia suala la shule kuchomwa Moto. Waacheni polisi wafanye upelelezi huru kwa mujibu wa sheria na ujuzi wao.Una uhakika wao ndo wamechoka au unabwabwaja tu..
Hii ndiyo mbinu namba moja ya vyombo vya usalama...kutesa hata wasiohusikakwa kweli kama wamechoma shule waache wale kipigo + kipondo, miaka yetu tulikuwa tunafanya uhuni woote lakini si kuchoma shule tulio kuwa tunasoma….
Wahekariri mkuuHii ndiyo mbinu namba moja ya vyombo vya usalama...kutesa hata wasiohusika
wewe ulisikia wapi??Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.
Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.
Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile aptoa solution hapa tuifate
Mkuu hili sio tukio la kwanza.Kumbe shule imechomwa moto?
Wanaenda mbali sasa Minaki hainaga historia ya vurugu lazima kuna tatizo, lakini kuchoma shule ni hatua ya mbali sana
Mwaka gani mkuu?Mkuu hili sio tukio la kwanza.
Kuna bweni liliwahi kuchomwa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Walipohamishiwa wahuni wa Tambaza, miaka ya 93 hadi 95Mwaka gani mkuu?
Upelelezi huru ndo kutandika watoto vipigo,? Acha kushabikia ujinga we Guruguja..Wewe ndo umechoka. Hapa tunazungumzia suala la shule kuchomwa Moto. Waacheni polisi wafanye upelelezi huru kwa mujibu wa sheria na ujuzi wao.
Watu wengine buana sijui mna matatizo gani. Na haya ndo matokeo ya wazazi wenu kujifungulia kwa wakunga wa jadi/nyumbani, mnazaliwa, mnachelewa kulia, mnapata low Apgar score, mnapata udumavu, mwisho mnakuja kuisumbua jamii kwa hoja mlenda zinazochagizwa na kudumaa kwa akili.
Wewe unajua njia ngapi za upelelezi? Na Je, unaweza kutaja faida na hasara na Wakati ambao njia hizo zinatumika? Una ujuzi gani katika suala la upelelezi wa matukio ya jinai?Mateso sio njia bora ya upelelezi, kwa askari mwenye weledi hahitaji kutesa mtu kwani hao sio magaidi.
Njia ya kutesa ni mazoea ya kijinga tu.
Upelelezi kwa wanafunzi ni rahisi mno.
Hata hivyo nimesikitika kusikia shule yangu imechomwa.
Hiyo shule imepitia mengi na inanikumbusha mbali sana
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app